Queen Kyusa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 663
- 162
KWeli watz tumezidi kuwa makondoo, hebu imagine mafuta yameadimika kama wki hivi alafu tunalalamika tu zingekuwa nchi zenye wananchi seriouz leo hii historia ingekuwa imeandikwa lakini kwakuwa tunalinda amani basi wacha watugeuze wanavyotaka na watuchezee wanavyotaka.
Tanzania ndiomana tunaendelea kuwa maskini kwasababu ya unafki wa kulalamika bila kuchukua maamuzi.
Tanzania ndiomana tunaendelea kuwa maskini kwasababu ya unafki wa kulalamika bila kuchukua maamuzi.