Watanzania waitikisa Marekani kwa utapeli

Sasa Chadema inahusiana vipi na huo utapeli.?
Mkuu mbona unahamaki- wakati wanapeperusha mabango ya kudai katiba mpya mbona ulisimama nao- baki nao tu mkuu huko CHADEMA
 
Hawa walishatoka jela ama bado twende tukawakomboe?! Huyo jamaa Phanuel Ligate hua namwona Instagram anapost sana mambo ya CCM na pia hua anampost post sana Diamond Platinumz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…