D donga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 2,560 Reaction score 5,235 May 22, 2023 #1 Nimekuja hapa msibani Mbeya Isanga msibani asee nikamkuta jamaa amekuja na parachichi la kulia wali msibani Hivi ndio nini sasa hii
Nimekuja hapa msibani Mbeya Isanga msibani asee nikamkuta jamaa amekuja na parachichi la kulia wali msibani Hivi ndio nini sasa hii
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,815 Reaction score 10,710 May 22, 2023 #2 Wanyakyusa hao ovyo sana kila kitu fursa kwao
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 May 22, 2023 #3 Ngalikihinja unaitwa
D donga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 2,560 Reaction score 5,235 May 22, 2023 Thread starter #4 Notorious thug said: Wanyakyusa hao ovyo sana kila kitu fursa kwaoView attachment 2631231 Click to expand... Yaan sijaelewa kwanini kafanya vile
Notorious thug said: Wanyakyusa hao ovyo sana kila kitu fursa kwaoView attachment 2631231 Click to expand... Yaan sijaelewa kwanini kafanya vile
F Firdaus9 JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 1,205 Reaction score 2,823 May 22, 2023 #5 Ndo userious wenyewe huo labda hawezi kula bila parachichi
Acehood JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,668 Reaction score 2,853 May 22, 2023 #6 Apetaiza mwaisa yani itapela ni unyamaa
D donga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 2,560 Reaction score 5,235 May 22, 2023 Thread starter #7 Firdaus9 said: Ndo userious wenyewe huo labda hawezi kula bila parachichi Click to expand... Alikuwa na uhakika gani km kuna chakula mpaka are na parachichi
Firdaus9 said: Ndo userious wenyewe huo labda hawezi kula bila parachichi Click to expand... Alikuwa na uhakika gani km kuna chakula mpaka are na parachichi
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 13,596 Reaction score 40,838 May 22, 2023 #8 donga said: Nimekuja hapa msibani mbeya isanga msibani asee nikamkuta jamaa amekuja na parachichi la kulia wali msibani Hivi ndio nn sasa hii Click to expand... Mkuu naomba unieleze kosa lake hasa ni nini hapo?
donga said: Nimekuja hapa msibani mbeya isanga msibani asee nikamkuta jamaa amekuja na parachichi la kulia wali msibani Hivi ndio nn sasa hii Click to expand... Mkuu naomba unieleze kosa lake hasa ni nini hapo?
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,157 Reaction score 31,334 May 22, 2023 #9 Kama msibani watu wanashona sare kwanini asifanye maandalizi ya chakula na yeye
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 16,355 Reaction score 23,062 May 22, 2023 #10 donga said: Yaan sijaelewa kwanini kafanya vile Click to expand... Kwa sababu alijua angekula!
D donga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 2,560 Reaction score 5,235 May 22, 2023 Thread starter #11 Covax said: Mkuu naomba unieleze kosa lake hasa ni nini hapo? Click to expand... Mi naona haijakaa poa tu ila sina sababu ya msingi
Covax said: Mkuu naomba unieleze kosa lake hasa ni nini hapo? Click to expand... Mi naona haijakaa poa tu ila sina sababu ya msingi
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 8,625 Reaction score 12,172 May 22, 2023 #12 Ujue kuna wanaozunguka kwenye misaba kusaka ulaji.
F Firdaus9 JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 1,205 Reaction score 2,823 May 22, 2023 #13 donga said: Alikuwa na uhakika gani km kuna chakula mpaka are na parachichi Click to expand... Inajulikana msibani lazima palike
donga said: Alikuwa na uhakika gani km kuna chakula mpaka are na parachichi Click to expand... Inajulikana msibani lazima palike
Slowly JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 10,702 Reaction score 35,757 May 22, 2023 #14 Ko jamaa asile kisa mtu kafa we jamaa mbona Una ujomba mwingi , kuna watu hapo msiban watanunua pepsi za bardi za kutosha na maji ya kushushia , vip hao, mwamba yeye kaja na parachichi imekuwa nongwa
Ko jamaa asile kisa mtu kafa we jamaa mbona Una ujomba mwingi , kuna watu hapo msiban watanunua pepsi za bardi za kutosha na maji ya kushushia , vip hao, mwamba yeye kaja na parachichi imekuwa nongwa
AlmightyGod Member Joined May 21, 2023 Posts 94 Reaction score 352 May 22, 2023 #15 Acehood said: Apetaiza mwaisa yani itapela ni unyamaa Click to expand... Mwanafyale unyamaaa mwingi ππππ
Acehood said: Apetaiza mwaisa yani itapela ni unyamaa Click to expand... Mwanafyale unyamaaa mwingi ππππ
AlmightyGod Member Joined May 21, 2023 Posts 94 Reaction score 352 May 22, 2023 #16 Ulitakiwa umwambie hapohapo on spot, Kuongelea huku haitasaidia...
Continental Ground JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 1,936 Reaction score 4,001 May 22, 2023 #17 Duh
T too_short Senior Member Joined Mar 19, 2023 Posts 160 Reaction score 413 May 22, 2023 #18 donga said: Nimekuja hapa msibani mbeya isanga msibani asee nikamkuta jamaa amekuja na parachichi la kulia wali msibani Hivi ndio nn sasa hii Click to expand... Kuna mmoja mpenda miwasho nilimshuhudia akitoa pilipili kwenye mfuko wa koti wakati wa kupata chochote kitu.. Inaonyesha alijiandaa
donga said: Nimekuja hapa msibani mbeya isanga msibani asee nikamkuta jamaa amekuja na parachichi la kulia wali msibani Hivi ndio nn sasa hii Click to expand... Kuna mmoja mpenda miwasho nilimshuhudia akitoa pilipili kwenye mfuko wa koti wakati wa kupata chochote kitu.. Inaonyesha alijiandaa
kambagasa JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 2,271 Reaction score 1,809 May 22, 2023 #19 Afadhali huyo kuna mshenzi mmoja juzi msibani wanaweka tu chakula kwenye turubai gafla naona anatoa pilipili mfukoni
Afadhali huyo kuna mshenzi mmoja juzi msibani wanaweka tu chakula kwenye turubai gafla naona anatoa pilipili mfukoni
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,550 Reaction score 105,319 May 22, 2023 #20 We ungebeba pilipili na kijiko cha kulia wali...π