Mzee wa chattle aliwapa sana kazi wachina.Wachina wanakuja kwa kasi sana ktk nchi hii ya maziwa na asali, angalia kampuni nyingi za ujenzi Wachina ndiyo wanaongoza kubeba tenda na wanaletana vibaya mno!
Viwanda vingi wahindi ndiyo wanatawala na kuzidi kujikita.
Sisi wabongo tupo tupo tunakula ubwabwa na mihogo!
Wachina ChiefWachina wanakuja kwa kasi sana ktk nchi hii ya maziwa na asali, angalia kampuni nyingi za ujenzi Wachina ndiyo wanaongoza kubeba tenda na wanaletana vibaya mno!
Viwanda vingi wahindi ndiyo wanatawala na kuzidi kujikita.
Sisi wabongo tupo tupo tunakula ubwabwa na mihogo!
Kuungana na mbongo eti munafanya kampuni moja, nikama unatafuta kifo camapema, ndugu kwa ndugu damu moja wanashindwa kuendeleza biashara ya familia hata kuigawana kunawashinda wanatoana roho, sembuse eti wewe mhaya uungane na mchagga kwa kuweka mtaji pamoja. Thubutu utapata stress na kifo chamapema..........kweli kuungana ni nguvu ila sio kwa Tz mtu unamkopesha tu 100k kuilejesha shida ndo umkabidhi mtaji wako, kwano Salimu Bakhresa Menji Mo nk kaungana nani?Hii nchi Utamaduni wetu ni kila mmoja aonekane ana Biashara yake, awe na Basi lake liandikwe jina lake apate sifa mtaani na kadhalika, hizi ndo aina za Biashara tunapenda sisi.
Watanzania biashara zetu zimejengwa juu ya msingi wa Udondo mtupu hasa pale itakapo kuja swala la Ushindani wa kutisha kutoka nje.Biashara zetu asilimia kubwa haziwezi kuhimili ushindani wa kutoka nje.
Nitatoa Baadhi ya Mifano Michache ninayo iona;
UJENZI
Tuna makampuni mengi sana ya Ujenzi ya wazawa yako mengi balaa, lakini angalia ni kampuni zipi zinapewa tenda ya kujenga Majumba makubwa na pia kujenga Barabara za lami nchini, Utaona ni Wazungu, Wachina na Wahindi ndo wanao tujengea Barabara zetu huku sisi tukiwa na utitili wa makampuni ya Ujenzi, Mpaka sasa hatutaki kujifunza na tumekomaa kila mtu na kikampuni chake tunasubilia janja janja na huruma tupate tenda za kuchonga Barabara za vumbi za mitaani, Hakuna hata single Company ya Ujenzi inaweza hata robo kushindana na Wachina au Wazungu.Ila Kampuni zetu zingeungana wakawa na kampuni yenye nguvu wanaweza, shindana hatutaki kwa sababu kila mmoja anataka aonekane.
USAFIRISHAJI
Hakuba haja ya kuwa na utitili wa wamailiki Daladala kwenye miji kama Dar, pale Kampuni hata 6 kubwa zinatosha kabisa kutoa huduma, ipo siku watu watakuja watamwaga Mabasi na tunaanza kulia ni Vidaladala vyetu, tunashindwa kusoma alama za nyakati kabisa,
UTITIRI WA VIWANDA
Siku hizi kumeibuka kutoka SIDO wanatoa mfunzo ya kuzalisha Sabuni, mara mafuta, Unga lishe na kadhalika, unakuta mtaa mmoja kuna Wazalisha Sabuni za maji kama 100 hivi na kila mtu anakomaa mwenyewe, hawa wana Idea inafanana ila waambie waungane asieee hutawaona na watakuja na sababu Miliona 1 za kwa nini hawataungana. Hivyo viwanda haviwezi fua Dafu kokote kule kwenye ushindani, na vingi vimekuwa vinajifia vyenyewe, Wachina unakuta Kiwanda kimoja kina share holder kama 600 hivi, Wachina kampuni zao nyingi ni Muungano wa watu wengi sana wenye malengo sawa, na ndo hao wanaotoa kichapo kwenye viwanda vyetu.
VI MIN SUPER MARKET
Hizi ni nyingi sana hasa Dar kila mtu anaona sifs kuea nacho cha kakwr, ila kusanya Min Super Markrt 100 Dar haziwezi shindana na Supet market moja kama Shorppers, na zinginezo kama Village Super Market.
Hizi Min nyingi watu wangeweza kuungana wakaja na Super market za kutoa ushindani lakini wapi hilo haliwezekani kabisa.
Sekita Ziko nyingi sana ambazo Watanzania hakika tusipo unganisha nguvu ipo siku tutaenda kulilia chooni, hatutaweza shindana na Viwanda vya India, China, Ulaya, na hawa walivyo wajanja wanakuja hata kusimika kiwanda huku huku kwetu.
Watu wanakuja na Mitaji yao wanayo pewa kutoka kwao, na watafanya vitu vikubwa ambayo sisi biashara zetu itabidi tufunge, na shida kuu tumekalia negativity kwamba Ohoo Watanzania hatuwezi ungana, hilo haliwezekani na kadhalika, Ok tungoje tuendelee kufixiwa na Wachina.
Mchina hata mzungu ameshindwa kwenye sekta ya ujenzi, itakuwa mswahili?Mchina nchi yake inampa ruzuku kubwa tu kwa kila tenda anayoipata na ndio maana kwenye tenda nyingi lazima ashinde kwani anatoa hesabu ya chini zaidi kulinganisha na wengine, kwani serikali yake inamuongezea pesa!!sisi waafrika kutokana na ubinafsi wetu kuungana huwa ni tabu, ni mkifanikiwa mala nyingi hamfiki mbali.Hii nchi Utamaduni wetu ni kila mmoja aonekane ana Biashara yake, awe na Basi lake liandikwe jina lake apate sifa mtaani na kadhalika, hizi ndo aina za Biashara tunapenda sisi.
Watanzania biashara zetu zimejengwa juu ya msingi wa Udondo mtupu hasa pale itakapo kuja swala la Ushindani wa kutisha kutoka nje.Biashara zetu asilimia kubwa haziwezi kuhimili ushindani wa kutoka nje.
Nitatoa Baadhi ya Mifano Michache ninayo iona;
UJENZI
Tuna makampuni mengi sana ya Ujenzi ya wazawa yako mengi balaa, lakini angalia ni kampuni zipi zinapewa tenda ya kujenga Majumba makubwa na pia kujenga Barabara za lami nchini, Utaona ni Wazungu, Wachina na Wahindi ndo wanao tujengea Barabara zetu huku sisi tukiwa na utitili wa makampuni ya Ujenzi, Mpaka sasa hatutaki kujifunza na tumekomaa kila mtu na kikampuni chake tunasubilia janja janja na huruma tupate tenda za kuchonga Barabara za vumbi za mitaani, Hakuna hata single Company ya Ujenzi inaweza hata robo kushindana na Wachina au Wazungu.Ila Kampuni zetu zingeungana wakawa na kampuni yenye nguvu wanaweza, shindana hatutaki kwa sababu kila mmoja anataka aonekane.
USAFIRISHAJI
Hakuba haja ya kuwa na utitili wa wamailiki Daladala kwenye miji kama Dar, pale Kampuni hata 6 kubwa zinatosha kabisa kutoa huduma, ipo siku watu watakuja watamwaga Mabasi na tunaanza kulia ni Vidaladala vyetu, tunashindwa kusoma alama za nyakati kabisa,
UTITIRI WA VIWANDA
Siku hizi kumeibuka kutoka SIDO wanatoa mfunzo ya kuzalisha Sabuni, mara mafuta, Unga lishe na kadhalika, unakuta mtaa mmoja kuna Wazalisha Sabuni za maji kama 100 hivi na kila mtu anakomaa mwenyewe, hawa wana Idea inafanana ila waambie waungane asieee hutawaona na watakuja na sababu Miliona 1 za kwa nini hawataungana. Hivyo viwanda haviwezi fua Dafu kokote kule kwenye ushindani, na vingi vimekuwa vinajifia vyenyewe, Wachina unakuta Kiwanda kimoja kina share holder kama 600 hivi, Wachina kampuni zao nyingi ni Muungano wa watu wengi sana wenye malengo sawa, na ndo hao wanaotoa kichapo kwenye viwanda vyetu.
VI MIN SUPER MARKET
Hizi ni nyingi sana hasa Dar kila mtu anaona sifs kuea nacho cha kakwr, ila kusanya Min Super Markrt 100 Dar haziwezi shindana na Supet market moja kama Shorppers, na zinginezo kama Village Super Market.
Hizi Min nyingi watu wangeweza kuungana wakaja na Super market za kutoa ushindani lakini wapi hilo haliwezekani kabisa.
Sekita Ziko nyingi sana ambazo Watanzania hakika tusipo unganisha nguvu ipo siku tutaenda kulilia chooni, hatutaweza shindana na Viwanda vya India, China, Ulaya, na hawa walivyo wajanja wanakuja hata kusimika kiwanda huku huku kwetu.
Watu wanakuja na Mitaji yao wanayo pewa kutoka kwao, na watafanya vitu vikubwa ambayo sisi biashara zetu itabidi tufunge, na shida kuu tumekalia negativity kwamba Ohoo Watanzania hatuwezi ungana, hilo haliwezekani na kadhalika, Ok tungoje tuendelee kufixiwa na Wachina.
Kwa kuongezea(Kwa baadhi ya shughuli):-Nakuunga mkono ndg.
Kwenye kuungana ndio mahali uwekezaji wenye nguvu uliko.hata matajiri wachuuzi..utakuta ni mfanyabiashara mkubwa tu wa kuuza bidhaa za wenzake lkn hafikirii kuungana ili wafungue kiwanda.
Big up sana- hiyo ndiyo moja ya njia kupata mtaji mkubwa wa kushindana na wageni wanaopewa mikopo mikubwa na benki zao za nyumbani kuja kuteka masoko kwa - wazawa wanao ridhika haraka. Labda hatuna ujuzi wa biashara, mikataba, "partnership"?Hii nchi Utamaduni wetu ni kila mmoja aonekane ana Biashara yake, awe na Basi lake liandikwe jina lake apate sifa mtaani na kadhalika, hizi ndo aina za Biashara tunapenda sisi.
Watanzania biashara zetu zimejengwa juu ya msingi wa Udondo mtupu hasa pale itakapo kuja swala la Ushindani wa kutisha kutoka nje.Biashara zetu asilimia kubwa haziwezi kuhimili ushindani wa kutoka nje.
Nitatoa Baadhi ya Mifano Michache ninayo iona;
UJENZI
Tuna makampuni mengi sana ya Ujenzi ya wazawa yako mengi balaa, lakini angalia ni kampuni zipi zinapewa tenda ya kujenga Majumba makubwa na pia kujenga Barabara za lami nchini, Utaona ni Wazungu, Wachina na Wahindi ndo wanao tujengea Barabara zetu huku sisi tukiwa na utitili wa makampuni ya Ujenzi, Mpaka sasa hatutaki kujifunza na tumekomaa kila mtu na kikampuni chake tunasubilia janja janja na huruma tupate tenda za kuchonga Barabara za vumbi za mitaani, Hakuna hata single Company ya Ujenzi inaweza hata robo kushindana na Wachina au Wazungu.Ila Kampuni zetu zingeungana wakawa na kampuni yenye nguvu wanaweza, shindana hatutaki kwa sababu kila mmoja anataka aonekane.
USAFIRISHAJI
Hakuba haja ya kuwa na utitili wa wamailiki Daladala kwenye miji kama Dar, pale Kampuni hata 6 kubwa zinatosha kabisa kutoa huduma, ipo siku watu watakuja watamwaga Mabasi na tunaanza kulia ni Vidaladala vyetu, tunashindwa kusoma alama za nyakati kabisa,
UTITIRI WA VIWANDA
Siku hizi kumeibuka kutoka SIDO wanatoa mfunzo ya kuzalisha Sabuni, mara mafuta, Unga lishe na kadhalika, unakuta mtaa mmoja kuna Wazalisha Sabuni za maji kama 100 hivi na kila mtu anakomaa mwenyewe, hawa wana Idea inafanana ila waambie waungane asieee hutawaona na watakuja na sababu Miliona 1 za kwa nini hawataungana. Hivyo viwanda haviwezi fua Dafu kokote kule kwenye ushindani, na vingi vimekuwa vinajifia vyenyewe, Wachina unakuta Kiwanda kimoja kina share holder kama 600 hivi, Wachina kampuni zao nyingi ni Muungano wa watu wengi sana wenye malengo sawa, na ndo hao wanaotoa kichapo kwenye viwanda vyetu.
VI MIN SUPER MARKET
Hizi ni nyingi sana hasa Dar kila mtu anaona sifs kuea nacho cha kakwr, ila kusanya Min Super Markrt 100 Dar haziwezi shindana na Supet market moja kama Shorppers, na zinginezo kama Village Super Market.
Hizi Min nyingi watu wangeweza kuungana wakaja na Super market za kutoa ushindani lakini wapi hilo haliwezekani kabisa.
Sekita Ziko nyingi sana ambazo Watanzania hakika tusipo unganisha nguvu ipo siku tutaenda kulilia chooni, hatutaweza shindana na Viwanda vya India, China, Ulaya, na hawa walivyo wajanja wanakuja hata kusimika kiwanda huku huku kwetu.
Watu wanakuja na Mitaji yao wanayo pewa kutoka kwao, na watafanya vitu vikubwa ambayo sisi biashara zetu itabidi tufunge, na shida kuu tumekalia negativity kwamba Ohoo Watanzania hatuwezi ungana, hilo haliwezekani na kadhalika, Ok tungoje tuendelee kufixiwa na Wachina.
Nimesikitika sana baada ya kusima Mo anatoa ahadi ya ajira 100,000 kwa serikali yetu.. Yani serikali imekuwa tegemezi kwa wafanya biashara. Lord have Mercy!!Hii nchi Utamaduni wetu ni kila mmoja aonekane ana Biashara yake, awe na Basi lake liandikwe jina lake apate sifa mtaani na kadhalika, hizi ndo aina za Biashara tunapenda sisi.
Watanzania biashara zetu zimejengwa juu ya msingi wa Udondo mtupu hasa pale itakapo kuja swala la Ushindani wa kutisha kutoka nje.Biashara zetu asilimia kubwa haziwezi kuhimili ushindani wa kutoka nje.
Nitatoa Baadhi ya Mifano Michache ninayo iona;
UJENZI
Tuna makampuni mengi sana ya Ujenzi ya wazawa yako mengi balaa, lakini angalia ni kampuni zipi zinapewa tenda ya kujenga Majumba makubwa na pia kujenga Barabara za lami nchini, Utaona ni Wazungu, Wachina na Wahindi ndo wanao tujengea Barabara zetu huku sisi tukiwa na utitili wa makampuni ya Ujenzi, Mpaka sasa hatutaki kujifunza na tumekomaa kila mtu na kikampuni chake tunasubilia janja janja na huruma tupate tenda za kuchonga Barabara za vumbi za mitaani, Hakuna hata single Company ya Ujenzi inaweza hata robo kushindana na Wachina au Wazungu.Ila Kampuni zetu zingeungana wakawa na kampuni yenye nguvu wanaweza, shindana hatutaki kwa sababu kila mmoja anataka aonekane.
USAFIRISHAJI
Hakuba haja ya kuwa na utitili wa wamailiki Daladala kwenye miji kama Dar, pale Kampuni hata 6 kubwa zinatosha kabisa kutoa huduma, ipo siku watu watakuja watamwaga Mabasi na tunaanza kulia ni Vidaladala vyetu, tunashindwa kusoma alama za nyakati kabisa,
UTITIRI WA VIWANDA
Siku hizi kumeibuka kutoka SIDO wanatoa mfunzo ya kuzalisha Sabuni, mara mafuta, Unga lishe na kadhalika, unakuta mtaa mmoja kuna Wazalisha Sabuni za maji kama 100 hivi na kila mtu anakomaa mwenyewe, hawa wana Idea inafanana ila waambie waungane asieee hutawaona na watakuja na sababu Miliona 1 za kwa nini hawataungana. Hivyo viwanda haviwezi fua Dafu kokote kule kwenye ushindani, na vingi vimekuwa vinajifia vyenyewe, Wachina unakuta Kiwanda kimoja kina share holder kama 600 hivi, Wachina kampuni zao nyingi ni Muungano wa watu wengi sana wenye malengo sawa, na ndo hao wanaotoa kichapo kwenye viwanda vyetu.
VI MIN SUPER MARKET
Hizi ni nyingi sana hasa Dar kila mtu anaona sifs kuea nacho cha kakwr, ila kusanya Min Super Markrt 100 Dar haziwezi shindana na Supet market moja kama Shorppers, na zinginezo kama Village Super Market.
Hizi Min nyingi watu wangeweza kuungana wakaja na Super market za kutoa ushindani lakini wapi hilo haliwezekani kabisa.
Sekita Ziko nyingi sana ambazo Watanzania hakika tusipo unganisha nguvu ipo siku tutaenda kulilia chooni, hatutaweza shindana na Viwanda vya India, China, Ulaya, na hawa walivyo wajanja wanakuja hata kusimika kiwanda huku huku kwetu.
Watu wanakuja na Mitaji yao wanayo pewa kutoka kwao, na watafanya vitu vikubwa ambayo sisi biashara zetu itabidi tufunge, na shida kuu tumekalia negativity kwamba Ohoo Watanzania hatuwezi ungana, hilo haliwezekani na kadhalika, Ok tungoje tuendelee kufixiwa na Wachina.
Ahadi ya 100,000 kivipi?Nimesikitika sana baada ya kusima Mo anatoa ahadi ya 100,000 kwa serikali yetu.. Yani serikali imekuwa tegemezi kwa wafanya biashara. Lord have Mercy!!
Una mawazo mazuri sana mkuu, ila kwa mfumo qa nchi yeti mgeni na wasio rasmi ndio wanathaminiwa ukijaribu kuwa rasmi usumbufu wake usikie.Hii nchi Utamaduni wetu ni kila mmoja aonekane ana Biashara yake, awe na Basi lake liandikwe jina lake apate sifa mtaani na kadhalika, hizi ndo aina za Biashara tunapenda sisi.
Watanzania biashara zetu zimejengwa juu ya msingi wa Udondo mtupu hasa pale itakapo kuja swala la Ushindani wa kutisha kutoka nje.Biashara zetu asilimia kubwa haziwezi kuhimili ushindani wa kutoka nje.
Nitatoa Baadhi ya Mifano Michache ninayo iona;
UJENZI
Tuna makampuni mengi sana ya Ujenzi ya wazawa yako mengi balaa, lakini angalia ni kampuni zipi zinapewa tenda ya kujenga Majumba makubwa na pia kujenga Barabara za lami nchini, Utaona ni Wazungu, Wachina na Wahindi ndo wanao tujengea Barabara zetu huku sisi tukiwa na utitili wa makampuni ya Ujenzi, Mpaka sasa hatutaki kujifunza na tumekomaa kila mtu na kikampuni chake tunasubilia janja janja na huruma tupate tenda za kuchonga Barabara za vumbi za mitaani, Hakuna hata single Company ya Ujenzi inaweza hata robo kushindana na Wachina au Wazungu.Ila Kampuni zetu zingeungana wakawa na kampuni yenye nguvu wanaweza, shindana hatutaki kwa sababu kila mmoja anataka aonekane.
USAFIRISHAJI
Hakuba haja ya kuwa na utitili wa wamailiki Daladala kwenye miji kama Dar, pale Kampuni hata 6 kubwa zinatosha kabisa kutoa huduma, ipo siku watu watakuja watamwaga Mabasi na tunaanza kulia ni Vidaladala vyetu, tunashindwa kusoma alama za nyakati kabisa,
UTITIRI WA VIWANDA
Siku hizi kumeibuka kutoka SIDO wanatoa mfunzo ya kuzalisha Sabuni, mara mafuta, Unga lishe na kadhalika, unakuta mtaa mmoja kuna Wazalisha Sabuni za maji kama 100 hivi na kila mtu anakomaa mwenyewe, hawa wana Idea inafanana ila waambie waungane asieee hutawaona na watakuja na sababu Miliona 1 za kwa nini hawataungana. Hivyo viwanda haviwezi fua Dafu kokote kule kwenye ushindani, na vingi vimekuwa vinajifia vyenyewe, Wachina unakuta Kiwanda kimoja kina share holder kama 600 hivi, Wachina kampuni zao nyingi ni Muungano wa watu wengi sana wenye malengo sawa, na ndo hao wanaotoa kichapo kwenye viwanda vyetu.
VI MIN SUPER MARKET
Hizi ni nyingi sana hasa Dar kila mtu anaona sifs kuea nacho cha kakwr, ila kusanya Min Super Markrt 100 Dar haziwezi shindana na Supet market moja kama Shorppers, na zinginezo kama Village Super Market.
Hizi Min nyingi watu wangeweza kuungana wakaja na Super market za kutoa ushindani lakini wapi hilo haliwezekani kabisa.
Sekita Ziko nyingi sana ambazo Watanzania hakika tusipo unganisha nguvu ipo siku tutaenda kulilia chooni, hatutaweza shindana na Viwanda vya India, China, Ulaya, na hawa walivyo wajanja wanakuja hata kusimika kiwanda huku huku kwetu.
Watu wanakuja na Mitaji yao wanayo pewa kutoka kwao, na watafanya vitu vikubwa ambayo sisi biashara zetu itabidi tufunge, na shida kuu tumekalia negativity kwamba Ohoo Watanzania hatuwezi ungana, hilo haliwezekani na kadhalika, Ok tungoje tuendelee kufixiwa na Wachina.
Ajira... Nitarekebisha commentAhadi ya 100,000 kivipi?