Naandika mada hii kwa unyenyekevu mkubwa sana nikijuwa nakuamini wapo mlikuwa hamjamuelewa huyu Rais wetu mpendwa sasa mtamuelewa. Nakuanza kumuona kama lulu Mungu aliotupa watanzania wote.
Taifa hili ni tajiri sana sana sana yani siwezi kuandika humu mkanielewa ila aminini hili nitaifa tajiri dunian lakini wapo watu wachache sana wanakula cake ya taifa. Mh Rais hili amelikataa anataka cake iliwe na wote mpaka omba omba wale utamu wa cake ya taifa na hii ndio ndoto ya Hayati baba wa Taifa.
Taifa hili latanzania wapo watu wanakula na kunywa pasipo hata kutumia akili, jasho ama elimu yao yani wanakula pasipo kutoka jasho wakati yule anatoka jasho hafaidi hata tone la jasho lake yani tuna taifa la watumwa na watwana bila ya sisi kujijuwa jambo ambalo huko mbeleni kama tusipomuelewa Magu nakumpiga mawe akisema basi tutalia na kusaga meno maana wanaotunyonya niwachache ila wanatudanganya kuhusu Magu ilitusijegnduwa dhambi yao nakuanza waponda kwa mawe.
Kiukweli kabisa Mh Rais anataka tufumbuke macho natuanze kujuwa wabaya wetu nakuanza dai haki zetu na jasho letu kwa nguvu zote. Na kiukweli kwa pamoja tutaweza.
Sheria zetu ni dhaifu na kwa hakika hili nipangola majizi na wahujumu uchumi Rais anania yadhati kuleta mabadiliko ya hizi sheria lakini tusipogunguka macho majizi yanatuaminisha ubaya ili tupoteE lengo. Hapa siandiki sana ila funguka mtanzania.
Huduma bora ndio msingi wakila kitu. Taifa letu tulifika mahali tunanunua huduma za msingi kama matibabu,elim,maji,malazi sasa ukiangalia kile anakifanya mh Rais nikuletamabadiliko ya huduma zote zinatolewa na taasisi za serikali. Nahili lipo wazi jamani sasa tusisikilize wajinga wachache ambao walikuwa wakila ndani ya serikali yaani amkupe jamani hakuna serikali yeyote duniani imefanikiwa kwakulinda makupe ndani ya system yake, ndio maana china wananyonga.
Kiukweli kabisa Mh Rais Magufuli hatotokea tena baada ya miongo kadhaa yaani tunayo nafasi kumtumia kujenga taifa hili kwa miaka hamsini ijayo au kumchafuwa nakumkwamisha tuumie kwa miaka 50 ijayo.
Hii sio siri ikiwa wewe mtanzania mwenye mapenzi mema nataifa hili utasimama na rais wetu nakuishi kauli ya hapa kazi tutaliponya taifa nakufanya vizazi vijavyo kufaidi mema ya taifa hili.
Ukata unaonekana sasa nifaida ya siku zambeleni tukubali kufunga mkanda 10yrs tufaidi 50yrs sasa mwenye akili amenielewa.
Shime Magufuli