Watanzania tusimsahau Dewji

mti wa bib

Senior Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
138
Reaction score
120
Ndugu watanzania habari ya kutekwa kwa mo dewji naiona inapotea kdgkdg wakt bado hajajulika yupo WAP na watekaji ni wakina nani????? Mo dewji ni mtanzania na ametoa mchango mkubwa sana hapa Tanzania kwa kuajir vijana wengi kwahy tuendelee kupaza sauti kwa kutumia mitandao ya jamii mpaka atakapo patikana,,,,, naombe habar za mo zijae humu jamii forum
 
Ina maa humuamini Waziri wa mambo ya ndani na IGP??
 
Nadhani wanajushtukia. Kwanini itumike nguvu nyingi kwa Moe na sio wale wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…