Watanzania tusijisahaulishe kuwa jana tar 9 Nov, Harmonize pia alikuwa ana tamasha huko Shinyanga, tupeane mrejesho tafadhali

KITINDIKITAMU

Senior Member
Nov 3, 2019
189
356
Wakuu habari.
I hope mko good.

Wadau niliona msanii Harmonize anatangaza kuwa atakuwa na show kule mkoani Shinyanga Jana tarehe 9 Nov,sijafuatilia tena nini kilijiri maana ni kimya kuanzia kwenye media partners wake Cloud's na E-fm na social page zao kuanzia Harmonize na wenzie ni kumepoa.

Naona kama wananchi na wadau wa burudani wako bize kujadili Wasafi Festival tu,au ndio kusema ilihairishwa maana sioni kwenye vyanzo vyote wakiposti kuhusu show ya Kondeboy,hili limenisikitisha sana.

Waandishi na Wadau Ilitakiwa wawe na balance ya kulipoti show zote mbili za jana na si kuegemea upande mmoja.
 
Wewe ni mchawi Harmonize alihairisha toka Jumapili ilopita
 
Ahaha kumbe alihairisha ndio maana nilikuwa nataka feedback kama hii,kwaio aliona alipishe tamasha kuu kwanza.

Tamasha kuu lilifanyika shinyanga? Mbona location tofauti?

Nadhan ulichodhania hakijawa ndio ukaitwa mchawi
 
Back
Top Bottom