Watanzania tusiichoke amani

Kuna mgombea amshakata tikiti ya kurudi kwao ubeligiji

Anawadanganya vijana waandamane baada ya Watanzania kumkataa

Nitashangaa vijana kuandamana Kwasababu ya msaliti wa Nchi
28 lzm tuikomboe nchi yetu toka makucha ya ukoo fulani
 
Bila Haki hakuna amani.NEC na Polisi waache upendeleo
 
Kule TBC mmempoteza mwenzenu Elisha Elia
cc Pascal Mayalla
ARIDHIO inazidi kupukutika
RIP Elisha Elia, nimefanya nae sana kazi za Central Corridor Transit Transport Facilitation Agency, (CCTTFA)
PPR ikiwa Mzabuni, Elisha Elia akiwa Mwandishi, Mtangazaji, Producer na Presenter wa vipindi vya CCTTFA
RIP Elisha Elia
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…