Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,021
Ujinga ni ule ambao unapinga amani kwa sura ya haki.....Bila HAKI Amani ni Ujinga tu.
Hivi huoni ni haki yako ya msingi wewe kupata amani....ili ikusaidie ufanye yako huku ukijenga familia iliyo bora...!!!