Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,203
- 157,374
Siku moja nikiwa nasafiri nilishangaa sana baada ya kusoma maandishi ya bia hii baada ya Jirani yangu kuagiza kinyaji hiki.....
"Eti bia inayowaunganisha Watanzania wote!"
Hivi kweli Watanzania tunaunganishwa na bia? Sio kwamba tunaunganishwa na amani na upendo?
Nafikiri hawa walioandika walikuwa wana maroho mabaya!!!
Ukizingatia Watanzania wengi sasa hivi wanaokoka na wengine walishaokokaga na wengine hawajaokoka na hawatumii bia, how come leo hii watu wachache watujumuishe wote tunaokunywa na tusiokunywa kwamba tunaunganishwa na pombe? Jambo hili sio dogo na tusilichukulie kiwepesi namna hii,
Yesu alisema kuwa maneno ndio roho (Yohana 6:66) sasa maneno haya yanazalisha roho za ulevi kwa Watanzania, na tusipokuwa makini na kuyakemea haya maneno mwisho wa siku utakuta roho ya ulevi inapenya hadi kanisani.....
Huu ni mtazamo wangu kwa JINSi nilivyopewa kuona sijui wewe umeonaje ......
Pastor Mwl.Emmanuel