Watanzania tuna shida gani?

mtingi1

JF-Expert Member
Mar 21, 2020
713
1,000
Mtu akipongeza kazi zinazofanywa na serikali, anaitwa praise team au kwa lugha yetu pendwa, timu ya kusifu.

Kama sivyo, anapewa jina la mtafuta uteuzi!

Kuna ubaya gani kuyasema mazuri yanayotekelezwa?

Maana mtu akikosoa anaokana mwerevu hapewi jina baya, hasa humu jukwaani.

Penye mazuri yasemwe kwa haki, penye kukosoa pakosolewe kwa staha!

Tuchukue tahadhali dhidi ya Covid19.

Stay safe, Mungu ibariki Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
5,327
2,000
Wew nae funguka akili,
Jiulize ni vigezo gani vimechukuliwa hadi mtu fulani kapewa nafasi fulani ya uongozi.

Kama ni kumsifu mzee wa kupenda sifa ndio kigezo pekee, basi jua mzee wa kupenda sifa na aliyemsifia wote wapumbavu
 
mtingi1

JF-Expert Member
Mar 21, 2020
713
1,000
Sikubaliani na mawazo yako mkuu, kwamba sifa inamfanya mtu kupewa nafasi, ni wangapi wamesifu na hawakupewa?

Wangapi kina nani?

Sitakuuliza uzuri wa kiongozi aliyechaguliwa.

Ila jiulize swali, unamtumbua mtu kwenye sekta fulani kisha huyo huyo badae unampa tena sekta fulani..!! Akili hiyo au matope?
Wanaotamani kufanya kazi za kisiasa ndio wanajua maumivu ya jambo hilo wew huwezi kujua.
 
mr chopa

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
4,726
2,000
Mtu akipongeza kazi zinazofanywa na serikali, anaitwa praise team au kwa lugha yetu pendwa, timu ya kusifu.

Kama sivyo, anapewa jina la mtafuta uteuzi!

Kuna ubaya gani kuyasema mazuri yanayotekelezwa?

Maana mtu akikosoa anaokana mwerevu hapewi jina baya, hasa humu jukwaani.

Penye mazuri yasemwe kwa haki, penye kukosoa pakosolewe kwa staha!

Tuchukue tahadhali dhidi ya covid19.
Stay safe, Mungu ibariki Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa msukule ni kuipinga serikali
 
Drone Camera

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
13,838
2,000
Wangapi kina nani?

Sitakuuliza uzuri wa kiongozi aliyechaguliwa.

Ila jiulize swali, unamtumbua mtu kwenye sekta fulani kisha huyo huyo badae unampa tena sekta fulani..!! Akili hiyo au matope?
Wanaopambana kufanya kazi za kisiasa ndio wanajua maumivu ya jambo hilo wew huwezi kujua.
Wewe hujawahi kuona mtu anavuliwa wadhifa huu then baadaye anapewa mwingine?
 
Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
5,327
2,000
Then you lack exposure... Jaribu kufuatilia habari za dunia usikalie siasa za Tz tu.
Mtanzania ni sawa na mspanish???
Mim sio mwanasiasa, ila nadhani ukitaka kuona viongozi wazuri kwenye siasa ni muhimu kuwa mfano nikawe mwanasiasa.

So, tufanye kazi kila mtu atafute maendeleo yake binafsi.
fikra za weng wetu ndio maendeleo ya nchi yetu, kama nchi iko pazuri basi fikra za wengi ni nzuri, kama tupo pabaya basi fikra za wengi haziko sawa.
 
Attachments

mtingi1

JF-Expert Member
Mar 21, 2020
713
1,000
Bila shaka ukitumbuliwa na kurejeshwautakuwa umejifunza, ni nadra kurudia makosa
Wangapi kina nani?

Sitakuuliza uzuri wa kiongozi aliyechaguliwa.

Ila jiulize swali, unamtumbua mtu kwenye sekta fulani kisha huyo huyo badae unampa tena sekta fulani..!! Akili hiyo au matope?
Wanaotamani kufanya kazi za kisiasa ndio wanajua maumivu ya jambo hilo wew huwezi kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
15,527
2,000
WATANZANIA WENGI WANA MATUMIZI MACHACHE YA AKILI NA WALIO WENGI WANAENDESHWA NA MIHEMKO NA HISIA KALI HALI INAYOPELEKEA KUJAA KWA LUGHA CHAFU NA KEBEHI KWA WANAOTOA HOJA KINZANI!

NI MIJADALA MICHACHE INAYOENDESHA KWA MISINGI YA HOJA JENZI NA ELIMISHI!
 
Drone Camera

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
13,838
2,000
Mtanzania ni sawa na mspanish???
Mim sio mwanasiasa, ila nadhani ukitaka kuona viongozi wazuri kwenye siasa ni muhimu kuwa mfano nikawe mwanasiasa.

So, tufanye kazi kila mtu atafute maendeleo yake binafsi.
fikra za weng wetu ndio maendeleo ya nchi yetu, kama nchi iko pazuri basi fikra za wengi ni nzuri, kama tupo pabaya basi fikra za wengi haziko sawa.
Kumbe ukipewa challenge akili ndo zinakukaa vema.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom