Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,496
- 13,565
Kuna dhana ya ubaba ndani ya familia, na hivyo hata ktk taifa dhana ya ubaba hiyo ipo. Ni muhimu kumsikiliza rais anachosema, na pia tumuelewe nia yake nzuri ya kutuhamasisha tujiamini kuwa tunaweza. Kama ilivyo kwa baba wa familia, asiyemsikiliza baba yake huangamia, na ndivyo ilivyo kwa taifa, ni muhimu tumsikilize Mh. Dkt. Magufuli ili taifa lipone na kusonga mbele.
Mungu awabariki sana mashabiki wa CCM na rais Dkt Magufuli
Mungu awabariki sana mashabiki wa CCM na rais Dkt Magufuli