Watanzania tumelaaniwa? mbona tuna macho hatuoni? tuna masikio hatusikiii?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Hivi tulishawahi kuona au kujiuliza maswahi haya na jamiii zetu?

1. Kwanini viongozi wetu hutubiwa nje ya nchi? Hata kupima BP tu?

2. Kwanini deni la taifa linakuwa kama sio kukopa sana Usd Dollar kwa matumizi ya serikali na kupunguza inflation ambayo bado ni kitendawili kwa JK

3. Kwa nini migomo nchini haishi na tunaambiwa bajeti zinapangwa na hazitekelezeki?

4. Kwanini mikataba ya madini wanasema ni siri?

5. Kwanini kila siku tunasema CHADEMA ndo chanzo cha tatizo
 
Hata huko Libya,Misri na kwingineko walikuwa wakimya kama cc lkn siku itafika yaliyotokea huko yatatokea hapa
 
Hivi tulishawahi kuona au kujiuliza maswahi haya na jamiii zetu?

1. Kwanini viongozi wetu hutubiwa nje ya nchi? Hata kupima BP tu?

2. Kwanini deni la taifa linakuwa kama sio kukopa sana Usd Dollar kwa matumizi ya serikali na kupunguza inflation ambayo bado ni kitendawili kwa JK

3. Kwa nini migomo nchini haishi na tunaambiwa bajeti zinapangwa na hazitekelezeki?

4. Kwanini mikataba ya madini wanasema ni siri?

5. Kwanini kila siku tunasema CHADEMA ndo chanzo cha tatizo
ukweli ni kwamba sisi bado tuna nidhamu ya woga! ndiyo maana wanasiasa kama kina Luhanjo waliweza kumtetea jairo hadhari bila ya woga. Kweli kabisa ipo siku hawa wansiasa waliolelewa na chama chashika hatamu yatawakuta yalimkuta Sadam Hussein, qadafi na charusescu wa romania.

90% ya watanzania ni masikini na wanaishi vijijini, hivyo serikali inawatengea pesa kwa kutumia serikali za mitaa ili kuwaboreshea maisha yao. Sas unakuta Mbunge ankwenda kuomba rushwa huko manispaa ili wajamaa waibe pesa za walala hoi halafu serikali haija vunja tume hiyo ya wabunge mpaka leo na wabunge waliokuwa ktk tume hiyo bado wanzidi kufanya vitu vyao, jamani kweli tutafika hali ikiwa namna hii?
ole wao, ipo siku watasema, heri milima ituangukie kuliko kushikwa na watu hawa tulio wadhurumu haki zao!
 
Tatizo letu tunapenda siasa za sifa kama wiliam macelela za kujionyesha kuwa tunajua huku hatujui, siasa za kujikomba komba, wenye uwezo hawapewi nafasi, kila kitu kimisha kuwa cha wanamtandao, kama hauko kwenye system unaogopa kusema ukweli maana mwambepande haijachomwa moto, ila umbumbumbu ndo tatizo letu kuu nchini.
 
WaTz hatujalaaniwa laaana ni kitu kikubwa sana tatizo letu ni UJINGA NA UMASKINI na hivyo ndo vimetufikisha hapa tulipo Kuanzia Nyerere hadi Kikwete umaskini na Ujinga ndio mtaji wao na hawana mpango wa kuuumaliza tusipofight kujikwamua wenyewe na kutegemea wanasiasa watukwamue tutastuck hapa hapa tukilalamika milele na tutakufa bila Kelele Kama wafuasi wa Kibwetere
 
Back
Top Bottom