Watanzania tujue haki zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tujue haki zetu

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Pelham 1, Apr 13, 2012.

 1. Pelham 1

  Pelham 1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Juzi nilipanda gari za Mwenge-Post tulivyofika Magomeni mataa Trafiki akakamata gari kisa lilipakia eneo lisilomaalum tukambiwa tuteremke imagine mda huo daladala nyingi zilikuwa top turijaribu kukomaa kwakuwa tulikuwa wachache wengi walishashuka ndipo Trafiki alipopata mwanya na kumuaru Dereva apeleke gari kituoni, Trafiki alikuwa anaka pesa na kihalali ilibidi trafiki anot namba ya gari then itufikishe ndipo iende kituoni
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mngeongea nae mumuelimishe....
  Karibu jukwaa la Hoja mchanganyiko...
  Humu ni utambulisho tu...
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Karibu sana JF mkuu.
   
Loading...