Hivi huyu Mleta Mada alipata wapi ujasiri wa kuandika haya mashudu katika hili jukwaa?Kama wewe kweli ni msomi basi utakuwa umetuaibisha wasomi wote wa Nchi hii.You cannot stoop this low,Really!You shouldn't let your stomach rule your head!
Hoja hii imetokana na fikara mgando! Swala Dogo tu! Hivi utashangazwa kumwomba mtoto aliyezaliwa miaka 40 iliyopita akiwa na ndevu au mvi? Hivi itakushangaza kuona Mtu wa umri wa miaka 40 lakini ambaye hajaona na darasa hata moja anajua kusoma na kuandika!? Vivyo haikupasi hata Mara moja kushangaa na kushabikia kuwepo Kwa. Miundombinu hii finyu Kwa taifa kubwa lenye raslimali asilia tele na umri usiopungua mipaka 50.
Hata Kama nchi hii ingekuwa haina Mtawala bado tungekuwa na vyote ulivyovitaja maana Nguvu za uchumi hujitosheleza kutuwezesha kuishi!
Mkuu.....samahani....hivi kuna tofauti kati ya mbunge mpinzani na tawala katika kutekeleza majukumu yake ya maendeleo jimboni??? Kama ipo basi tupo kwenye hasara..........
Hivi huyu Mleta Mada alipata wapi ujasiri wa kuandika haya mashudu katika hili jukwaa?Kama wewe kweli ni msomi basi utakuwa umetuaibisha wasomi wote wa Nchi hii.You cannot stoop this low,Really!You shouldn't let your stomach rule your head!
Msomi ana criticize na kutoa mbadala sasa huyu kajitutumua yupo hapa kwa viva!!!!
We are here discussing huo unaoita mashudu.,the motion is on!!!!
Msomi wewe mahiri proposal yako juu ya hatima yetu iko wapi????!!!