WATANZANIA tuhamie HALOTEL

Wajanja tuu hao wanavuta Wateja kwanza halafu watupige badae Kama wenzao wanavyo Fanya. Nchi sisi wanyonge hatuna mtetezi ni kupigwa tuu.
Heshima yako mkuu Lituye.
Uuhuuuhuuu
 
kivipi sio ?
Nilikuwa na line yao nikaisahau sehemu for 1 month nikaja kurudi kuitumia kwa kuweka vocha ikagoma kuwapigia wanaanza kuniambia sijawahi itumia toka niinunue wala kuweka vocha ikabidi niwashangae kwanza na kuwapa mtiririko wa jinsi nilivyoitumia, hitimisho lao wakaniambia niinunue mpya tu sababu hii namba yangu imerudishwa dukani nikawaambia basi nai-renew wakasema haiwezekani just buy another one. Wala sijajishughulisha kwenda kwenye dukani lao
 
pole mkuu, hapo jamaa wamechemka
 
Ungeeleza kwa undani zaidi juu ya aina zavifurushi vilivyopo na bei zake ili tulinganishe na vifurushi vya mitandao tuliyomo.
 
mnaotumia halotel munatakiwa mujue jambo moja, network yao inamaliza charge sana sababu mda wote inakaa H haina standby ya 3g. hivyo kama unaona simu haikai chaji kama zamani ujue ni halotel
 
Halotel wako vzr sababu wanatumia fiber optic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…