TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,843
- 9,278
British virgin island ni kisiwa kinachopatikana marekani kaskazin kusini mwa nchi ya puerto rico ni moja kati ya nchi za carribean.Kisiwa Hiki kina watu wapatao 28,000s ambao ni raia halisi wa nchi hiyo na wahamiaji wapatao 80000s wahamiaji ni wengi kuliko wenyeji wengi wao wakiwa wamarekani.Mji Mkuu wa nchi hiyo ni road town unaopatikana kisiwani toltola.
Nchi hii ina visiwa takribani 15.Fursa Za kiuchumi zinazopatikana huko ni financial banking,nursering,walimu,na kazi nyingine kwa wenzetu wenye elimu,kwa sisi ambao hatuna elimu kazi zetu ni umachinga,utaxi driver lakini wizi hautakiwi kuna sheria kali za kudhibiti uhalifu.
Nimeishi huko kwa miaka kumi nikisaka maisha.Salary Kwa workers wa kawaida kwa mwezi ni usd 2,345 kima cha chini hiko.Nchi Hii wanatumia dollar za marekani,wandugu hiyo ni fursa ni simple tu chukua ndege hadi usa halafu chukua tena ndege ya huko hadi kwenye uwanja wa ndege wa terrence int,airp mjini road town maisha popote mimi ningelala naiman nisingefika hapa nilipo