Watanzania tubadilike - tusijipuuze

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
625
780
Watanzania inabdi tubadilike kama kweli tunataka kupiga hatua kwa kila jambo. Kwanza ni nchi mengine baadae, tatizo tulilonalo sasa hasa vijana ni kuwa negative kwa kila jambo. Na kulinganisha na nchi jirani kama kenya oh kenya wanatuzidi je wakenya wanaweza kufikiria mema kwa Tanzania. Wakenya wenyewe kwanza hawatupendi...iweje wewe mtanzania uko mwanza uipende kenye na kuisifia na kukejeli kila kitu kinachofanywa na watanzania.

Mfano tulihitaji Rais atakayejali maishi ya chini...sasa tumempata lakini watz kejeli muda wote mpaka wabunge, kila kitu ni kupinga. Kila kitu tupo negative.

Sikatai kuhoji, Kuhoji kunajenga na ndio maana leo mtu kama Zitto kabwe ukisikiliza hoja zake si zote zinajenga msikie mtu kama Mbatia zinajenga...

Najua Magufuli watu wachache amewabana na ndio walio negative, sisi ambao hata rais angekuwa yeyote ndo mishe mishe zetu ziko pale pale...hamna kuvutwa shati tunaona sawa.

Watanzania tubadilike.

Ni mmtizamo tu tusijenge chuki. Kumchallenge Rais au yeyote aliyoke serikalini ktk kujenga ni mhm lakini sio kubomoa kabisa mwisho wa siku wakenya wanatucheka.
 
Mtu kama Zitto kabwe kebehi ni chache na negativity ni chache sana
 
Pia watu wengi hatupendi nchi yetu iendelee ndio tatizo. Kikijengwa kitu watu ni kupinga tu wasipojenga oh nchi imejaa wezi. Wakijenja oh hata sio nzuri. Tubadilikeni bhana
 
Mtu kama Zitto kabwe kebehi ni chache na negativity ni chache sana
Yap, japo huwa simkubali dogo Kabwe, lakini yuko smart sana kwenye siasa zake.

Ni mtu makini sana na mfano wa wanasiasa wazuri wa upinzani Tanzania
 
Back
Top Bottom