Watanzania tubadilike sasa...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tubadilike sasa......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by pepekale, Jun 14, 2012.

 1. pepekale

  pepekale Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  Kitendo cha waziri wa uchukuzi Dr. Mwakyembe kuamua kutumia usafiri wa reli toka Dar mpaka Dodoma, watu wengi tumekejeli na kusema maneno mengi sana ya kipuuzi kama kutafuta sifa za kisiasa.

  Tunachotakiwa kujiuliza ni je usafiri huu wa reli ni wa watanzania wa kipato cha chini tu? Nchi nyingi zilizoendelea dunia hutumia usafiri wa reli kwa sababu ni rahisi na haraka, pia ni usafiri ulio salama.

  Dr. Mwakyembe anatafuta mbinu za kuweza kuboresha usafiri wa reli ili uwe wa kisasa lakini wengi tunambeza. Ifikie wakati watanzania tubadilike maana tumekua tunaongea sana bila kufikilia.
  Kwa maneno haya ya kejeli kamwe hatuwezi kufika popote tutaendelea kuwa masikini milele. :angry:
   
 2. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huenda ikawa shida ya uelewa na uvivu wa kujenga hoja,watu hawataki kujadili hoja zaidi ya kutafuta spelling error,typing error na kubeza tu.
  Itakuwa vizuri kama tukiwa critical kwa hoja na hoja iliyo na nguvu itashinda.
   
 3. Oluoch

  Oluoch Senior Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani itafika wakati ataeleweka tu,mimi namuunga mkono sana. Anaonesha uzalendo
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  huyo Dr. Mwakyembe kwanini anafanya kazi kwa coverage kubwa ya media? najiuliza media za nini kwa kila jambo hata dogo tu, dont tell the world you will do, show them. hiyo style inabore. abadilike afanye kazi tuone, haja-solve lolote, na soon wafanyakaz wa reli wanataka kugoma, aache ngojela
   
Loading...