Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,696
Kwenye fake id 🐼Kama kichwa Cha habari kinavyosema Mimi binafsi nipo tayari kumwaga damu yangu Kwa ajili ya hili taifa najua ipo siku nitakufa kwanini niogope wakati tunaona serikali inatuibia tuzinduke usingizini tunaibiwa na wakufanya hii Hali ipotee ni sisi vijana wa miaka hii sababu tunaelimu tusikubali najua watu watasema Mimi ni keyboard warrior ila nipo tayari binafsi roho yangu iondoke duniani kwajili ya taifa hili wakenya wametupa SoMo nafikiri wenyewe mmeona Vijana tuamke tunaibiwa nchi hii wakunitafuta anitafute nipo tayari Kwa lolote sababu maisha yote nimeishi kama pesa ninayo na utajiri naujua upoje ila kinachoniuma Kuna mijitu inaibia wananchi bila huruma Tanzania Generation Z
SawaHii Bongoland generation ya Insta, Tiktok, Vilevi na umalaya?
Ngoja tuone!
Hii Bongoland generation ya Insta, Tiktok, Vilevi na umalaya?
Ngoja tuone!
SawaKwenye fake id 🐼
Tupo wengi Tunakuunga mkono wakati mwingine hakuna furaha ya maisha kuona watu wanaibiwa halafu hawajui ni kwa Nini ni masikiniKama kichwa Cha habari kinavyosema Mimi binafsi nipo tayari kumwaga damu yangu Kwa ajili ya hili taifa najua ipo siku nitakufa kwanini niogope wakati tunaona serikali inatuibia tuzinduke usingizini tunaibiwa na wakufanya hii Hali ipotee ni sisi vijana wa miaka hii sababu tunaelimu tusikubali najua watu watasema Mimi ni keyboard warrior ila nipo tayari binafsi roho yangu iondoke duniani kwajili ya taifa hili wakenya wametupa SoMo nafikiri wenyewe mmeona Vijana tuamke tunaibiwa nchi hii wakunitafuta anitafute nipo tayari Kwa lolote sababu maisha yote nimeishi kama pesa ninayo na utajiri naujua upoje ila kinachoniuma Kuna mijitu inaibia wananchi bila huruma Tanzania Generation Z
Wacha waibiwe mpaka akili ziwakae sawaKama kichwa Cha habari kinavyosema Mimi binafsi nipo tayari kumwaga damu yangu Kwa ajili ya hili taifa najua ipo siku nitakufa kwanini niogope kifo wakati huyo ataenishoot na yeye ipo siku atakufa pia tunaona serikali inatuibia tuzinduke usingizini tunaibiwa na wakufanya hii Hali ipotee ni sisi vijana wa miaka hii sababu tunaelimu tusikubali najua watu watasema Mimi ni keyboard warrior ila nipo tayari binafsi roho yangu iondoke duniani kwajili ya taifa hili wakenya wametupa Somo nafikiri wenyewe mmeona Vijana tuamke tunaibiwa nchi hii wakunitafuta anitafute nipo tayari Kwa lolote sababu maisha yote nimeishi kama pesa ninayo na utajiri naujua upoje ila kinachoniuma Kuna mijitu inaibia wananchi bila huruma na mwanachi anaishi maisha ya kimasikini na Kodi analipa tena za Hali ya juu TANZANIA GENERATION Z IS COMMING SOON
Ndio kitu namba Moja nadhani soldier yeyote anajua haki inapatikana Kwa damu hapa AfricaHaya ni matumizi mabaya ya akili kumwaga damu haipaswi kuwa 1st option.
SaaSitoongea ila kuna siku inakujaView attachment 3029120
SawaSitoongea ila kuna siku inakujaView attachment 3029120
SawaHii Thread haina maisha marefu.
Tuamke bila sisi vijana wa kiume kuamka hamna mwingine wa kuamkaTupo wengi Tunakuunga mkono wakati mwingine hakuna furaha ya maisha kuona watu wanaibiwa halafu hawajui ni kwa Nini ni masikini
Hebu fikiria vijana watakosa boom mwezi wa 10 kwa sababu serikari imefuja hela kwa ufisadi
Tupatie option nyingine ichukue nafasiHaya ni matumizi mabaya ya akili kumwaga damu haipaswi kuwa 1st option.
Option ni damu kumwagika tu ndio haki itapatikanaTupatie option nyingine ichukue nafasi