Watanzania tu watu wa ajabu sana

Watanzania tu watu wa ajabu sana

Incredible

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,031
Reaction score
1,603
Jaji Werema alimuita Kafulila mzushi. Tena alienda mbali zaidi na kumwita Tumbili na akataka kumpiga. Leo ukweli upo wazi.

Tunaambiwa kwamba wizi katika mradi wa mabomba ya gesi tokea Mtwara huo ni babu kubwa. Wanasema huo unazidi ufisadi wowote wa huko nyuma.

Lakini tuna watanzania wenzetu ambao waala siyo wale wa buku saba wa lumumba, wao ni kutetea mafisadi hawa. Hawa hawajapata hata mgao, lakini wao wanaridhika nchi yetu ifisadiwe. Kule Kenya, MAUMAU iliua siyo wazungu tu bali hata wakenya waliotetea ukoloni.

Nchi yetu inafilisiwa na hiki kikundi cha majambazi lakini sisi hatujali. Kikundi hiki Nyerere alikikataa, sisi tukakikubali. Na bado hatuja jutia hii dhambi.

Hakika sisi watz ni watu wa ajabu
 
Ki ukweli inakera sana unapoona watz wenzako wanayachukulia masuala ya msingi ya nchi yao na maisha yao Kiushabiki wa vyama. Hivi hizi rasilimali zinazobebwa na vikundi vya wachache vingetumika kwa maslahi ya waTz wote hali lazima ingekuwa tofauti, sasa watu wanafanya mambo muhimu kama simba na yanga! lakini ninajua iko siku hali itabadilika!
 
Jaji Werema alimuita Kafulila mzushi. Tena alienda mbali zaidi na kumwita Tumbili na akataka kumpiga. Leo ukweli upo wazi.

Tunaambiwa kwamba wizi katika mradi wa mabomba ya gesi tokea Mtwara huo ni babu kubwa. Wanasema huo unazidi ufisadi wowote wa huko nyuma.

Lakini tuna watanzania wenzetu ambao waala siyo wale wa buku saba wa lumumba, wao ni kutetea mafisadi hawa. Hawa hawajapata hata mgao, lakini wao wanaridhika nchi yetu ifisadiwe. Kule Kenya, MAUMAU iliua siyo wazungu tu bali hata wakenya waliotetea ukoloni.

Nchi yetu inafilisiwa na hiki kikundi cha majambazi lakini sisi hatujali. Kikundi hiki Nyerere alikikataa, sisi tukakikubali. Na bado hatuja jutia hii dhambi.

Hakika sisi watz ni watu wa ajabu

Shikamoo Incredible kwa Uzi mtamu
 
Last edited by a moderator:
sasa kwa mfano mimi kama mimi nifanye nini...sawa tunaibiwa...sawa najua nchi inauzwa .sawa baada ya miaka 10 kutakua hamna kitu tena nchi itakua empty....ukiondoa swala la kura yangu..nifanye nini kingine..ningekua superman ungesema ningeenda kata vichwa personally..lakini ni raia wa kawaida tu.(naongea kwa niaba ya raia wengine wasio na makucha)
shauri:
 
tembea uchi hadharani siku tatu mfulululizo kuiachia taifa laana kali halaf ujiue. Mimi nimepanga kufanya ivyo. This is too much now.
 
ha ha ha....niliona jinsi mwizi anavochomwa na wananchi wenye hasira kali...alikua kaiba simu ya elfu 30 tu....hawa wezi na wahujumu uchumi...tutawapataje ili tuwachome? kabla ya kujiua nadhani tufunge kwa sala kwanza tuombe mungu achukue roho zao...watu wanateseka sana..kwa ulafi wa watu wachache..tuombe wapigwe na radi....ha ha natamani wachawi wangekua wazalendo...wangechukua sheria mkononi kunyoosha viongozi wanaochumia tumboni.
 
Back
Top Bottom