Uwe makini kuhariri maandishi kabla ya kupost
Asante babu, umetoa fikra mzuri kwa wenye kuzingatia.Watafiti wa magonjwa ya akili wasubiri kujua rate ya vichaa Tanzania kama nchi, kimikoa, wilaya, tarafa, kata na vijiji kwa kutumia kura watakazopata ccm!.
Asilimia ambazo ccm itapata out of kura zilizopigwa katika eneo fulani, basi hiyo ndiyo asilimia ya vichaa kati ya watu wa eneo hilo.
Watafiti wa magonjwa ya akili wasubiri kujua rate ya vichaa Tanzania kama nchi, kimikoa, wilaya, tarafa, kata na vijiji kwa kutumia kura watakazopata ccm!.
Asilimia ambazo ccm itapata out of kura zilizopigwa katika eneo fulani, basi hiyo ndiyo asilimia ya vichaa kati ya watu wa eneo hilo.
Ni kweli kwa kuwa maana nyingine ya mkichaa ni mtu anayefanya mambo yaleyale kila wakati akitarajia matokeo tofauti.
Zaidi ya yote, kichaa hatambui wapi ni hatari nisiende, kipi hakifai kutumika, lipi ni baya kulitenda na mambo mbali mbali ambayo ni ya hatari kwake na jamii. Yeye anakwenda tu bora anakwenda!. Hajitambui hata anapokuwa katika hatari..
Utakuta kichaa yuko sehemu ya mateso lakini hajui kama anateseka, yeye anaona hayo ndiyo maisha yake tu. Hata mara nyingine anadanganywa na peremende ahalafu anabebeshwa zigo kubwa, yeye anacheka cheka tu wala hajui nini na kipi ni sahihi na kipi si sahihi.
Watakaoichagua ccm wote ni vichaa!.
Safari hii watanzania wakiirudisha tena CCM madarakani wajilaumu wenyewe kwa ujinga wao!
Mimi kwa mtazamo wangu naona kabisa watanzania tunashauku kubwa na yakila namna katika nyanja ya kisiasa.., muda c mrefu tuta anza kuona na kushuhudia watu walewale walokuwepo kwenye mkutano wa UKAWA
nihaohao watakao hudhuria kwenye mkutano wa CCM na vyama vingine kinacho fanyika ni kubalidili vazi tu ..
Wote hao lengo ni moja tu ni kumpata kiongozi bora kwa kufanya hivyo naaamini kabsa mwezi oktoba we will vote for a righ person to be our leader.
Mathematician says even" a10000000 miles start with a single step ",
Upande wangu sijaona mwamko wa kweli wa mtanzania, ila nimeona mwamko wa ushabiki wa watanzania wengi hasa kisiasa. kila mmoja anakulazimisha uamini chama flani ndo kinafaa bila kukuacha ufikili kwa uhuru kipi kinafaa. wengi tuaongozwa na ushabiki tu na sio mwamk wa uelewa wa siasa