Watanzania ni 'low minded'?

Hiyo amesema yeye, Binafsi mimi sio low minded.. na yeye kuandika hivo inawezekana amebadilika
 
Uko sahihi 99%.
 
Mimi nakazia hoja watanzania wote ni wajinga kabisa ukitoa tu wale wenye asili ya Asia na ulaya.Na ukitaka uwin kimaisha na kipesa hapa bongo waanzishie biashara za kuwatia umaskini kama viwanda vya pombe Kali a.k.a gongo iliyothibitishwa na Tbs ya Bei rahisi na anzisha kampuni ya kubeti tu uwapune pesa zao Wacha wawe masikini tu,shubaamiti.
 
Acha ubaguzi na uzwazwa. Inaonekana wewe ni gabacholi. Hao waasia wamefanya nini zaidi ya kutawaliwa na kuwaramba matako wazungu? Hujui usemalo nyambaff na umeishiwa na kukata tamaa kiasi hki! Senzi kabisa. Nenda kaishi huko kwa wanjanja wako uone watakavyokubagua na kukunyonya.
 
Itakuwa channel za wengi hazikamati 😀😀 unakuta labda kuna habari inaihusu Kenya wamefanya jambo fulani la maendeleo mtu anatoka huko anaanza kusema Tanzania baba lao.
 
Tunaposema wa-Asia kama China, Singapore, South Korea na Japan wako vizuri zaidi kuliko wengine duniani katika hesabu tunajua wapo viliaza sana pia katika hesabu.
Nuance my dude, nuance.

The statement needs nuance, calibration, qualification, contex, etc., to be meaningful.

Otherwise, it is a simple case of hasty generalization.

To say "Tanzanians generally don't speak French" is not the same as saying "Tanzanians don't speak French".

The word "generally" here is a caveat that qualifies the statement to put it in context that this is not the case in every case, just generally.

I know Tanzanians who speak French. My mother spoke French before I could speak English.

So, saying "Tanzanians don't speak French" would not be correct.
 
Naona umeamua kuwasema CCM, ndani ya CCM kila mwanachama anaweza kuwa rais mradi tu ateuliwe kugombea na kura zake za ushindi tayari zimekwisha jumlishwa.
 
unataka ufanyiwe kila kitu?

Utakuwa umegraduate degree kitivo cha lugha au mambo ya kale...

To every problem there is a solution, sasa kwa kuwa umeng'amua ya kwamba walio Watanzania wengi wana ufinyu wa fikra basi toa muongozo wa namna ya kuwasaidia wasiendelee kuwa kwenye ufinyu wa fikra...

Kitendo cha kutaja tu matatizo pasipo kuainisha pia namna ya kujikwamua nayo pia ni ufinyu wa fikra...
 
Don't anything personal
 
Kuna Ile ya "Ngoja niingie hapo kati kupoteza poteza muda"... Na hilo la kuchunguzana kama ulivyosema ni ndefu mno.
Tatizo la mfumo wa Serikali Magufuli angekuwepo na mifumo yake ya kutuminya tufanye kazi tupate pesa Vijana akili ingetukaa sawa, Maana vijana wangeamka wasinge waza kukaa vijiweni kuongea Simba na yanga wakati wana njaa na hajui atakula nini na atapaka ajira wapi.
 
Sio mambo ya siasa tu hata masuala ya Usalama barabarani. Ajali imetokea kwa uzembe kabisa, ukitoa hoja yenye mashiko utasikia kifo au ajali haina kinga, kutakufuata popote. Mara watu wanatoa makafara, freemasons etc. Yaani ni wachache sana wataleta hoja ya maana na hao wanaishia kukejeliwa.
 
Ukitaka kujua akili za wabongo nenda kwenye posts za BBC na DW Kiswahili FB,Insta au X comments za Wakenya, Wabongo na Wakongo etc utaona Wabongo mostly wanatukana tu kubishana na hawana hoja kujadili mada iliyoletwa na hizo idhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…