1. Kuna wanaoneemeka na ufisadi wa system, hawa hata Anne Makinda akiwa rais kwao itakuwa poa tu, as long as wanakula kwa mrija.
2. Kuna wenye mapenzi na CCM tu toka moyoni, hawa wanafurahi kuiona CCM ipo madarakani.
3. Kuna bendera fwata upepo, hawaipendi CCM, hawaneemeki na system ila wenyewe wakisikia wengine wanasifia wao wanafuata tu bila critical thinking.
Number 1&2 wapo wachache sana na wanajitambua sana.
Number 3 wapo wengi sana, hawajitambui, hawa ndo wanaopewa kanga, ubwabwa. Wanamjugde mtu kwa appearance na wanaishi kwa anticipations kuwa fulani atafanya hivi kwasababu alifanya vile. Ndo maana leo anakwambia Magufuli jembe kwasababu amejenga barabara.
Subiri uone.