Ukiacha kupiga kura utakuwa unawasaidia wanyonyaji kuendelea kutawala mileleNdiyo maana mimi nimesema bora niache hata kupiga Kura yaani kuwa na wananchi ambao wanajua tu ukiwa ccm ndo nchi inaenda ni shida sana,watu punguani wasiofanya utafiti si wasomi,wafanyakazi wote ni sifuri kichwani,ccm wape shida na endeleeni kuwakamua wajinga hawa
Bora tuendelee kutawaliwa na Ccm kuliko ile saccos ya uchagani yenye ukabila na udini

Ukiacha kupiga kura utakuwa unawasaidia wanyonyaji kuendelea kutawala milele
Kwanini mnaanza kuwalaumu watanzania hata kabla ya uchaguzi?? Si mungesubiri uchaguzi mukaona watanzania wataamua vipi halafu ndo mukawahukumu kwa maamuzi yao?? SIDHANI KAMA WATANZANIA WA LEO WATAREJEA MAKOSA YA 2005. WATANZANIA WAMEJIFUNZA VYA KUTOSHA. KUMBUKA HII NCHI NI KUBWA SANA HIVYO CCM HAWAWEZI KUPOTEA MARA MOJA LAKINI UKWELI NI KWAMBA SEHEMU NYINGI ZA NCHI CCM ITAPIGWA NA CHINI KATIKA UCHAGUZI HUU.
Bora tuendelee kutawaliwa na Ccm kuliko ile saccos ya uchagani yenye ukabila na udini
CHADEMA-CHaga DEvelopment MAnifesto