moghasa
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 1,084
- 1,254
Wakuu Mufangana (nyaturu)!!!
Baada ya kuwa nimekuwa nikawa mtu mzima, nilishangaa kukuta kijijini kwetu hakuna kanisa hata moja zaidi ya RC ambalo lilianza enzi za mkoloni mwaka 1952.
Kijijini kila mtu ukimuuliza dini yake atakwambia mi MKATOLIKI hata kama hajabatizwa wala kukanyaga kanisani, kwake dunia nzima ni ukatoliki!! kwavile na vile tu hakuna dini nyingine yenye shughuli zake rasmi pale tofauti na wagen wachache wanaosali madarasani shule ya msingi.
Kuna maeneo mengine yanaathari kama kijiji kwangu, hususani ukanda wa pwani ambao tofauti na sisi wa bara (wengi wao) tuliupokea ukristo, na sina tatizo na hilo.
Mimi ni mmoja ya watu waaminio kuwa kila kila mwanadamu ataenda mbinguni kwa mbinu zake mwenyewe ( hapa sihitaji ubishi), hivyo uislamu na ukristo nauona kama COCA COLA na PEPSI COLA chupa tofauti kinywaji kile kile.
Kwa akili zangu na uelewa wangu naamini wengi wetu ha jf tumeenda shule angalau kdato cha nne , isipokuwa Shyland ambae amekuwa akiweka bayana elimu yake yenye ukomo wa msingi tu.
Baada ya harakati za uamsho kule zanzibar zilizokuwa zikiendeshwa na waislam wenye mlengo tofauti na wenzao na harakati za akina Sheikh PONDA huku bara zilisababisha kukanatwa kwao ambako wengi wa wafuasi wao huona kama dhurma na hujuma kwa dini na viongozi wao.
Hali hiyo ilisababisha kutekwa kwa vituo vya polisi na wafuasi hao kupora siraha za moto bila vikwamizi huku serikali yetu tulivu na sikivu ikiwa imetulia inasikiliza.
Sipendi kupingana na matamshi ya vyombo vya habari, la hasha! naomba niweke wazi kuwa kama msomi pia sijafundishwa kuaminishwa kuwa nyeupe niite nyekundu!!
kinachotokea Morogoro ni uvamizi wa waisilam wa hapa hapa Danganyika wakishirikiana wanaohisi kuporwa haki zao, bila kujua kuwa walichoporwa ni uwezo wao wa kufikiri.
WATANZANIA ufikie wakati tutambue kuwa anae tuchoma hayuko mbali!! na hajui maana ya Amani.
Basi kuanzia leo tufikiri kutuuzima!!

Last edited by a moderator: