Watanzania mwenye YouTube hivi mna akili gani, mbona bado tunazidi kuwa wajinga hadi lini

Mleta mada hukusoma kabisaaa!! Shule. Km ulisoma basi ni kimkandamkanda tu...

Km watu huwajui unachukia hivi je unaoshinda nao na kulala hapo?, na kuwalisha?,

Mungu aumbe mtu wake wewe uchukie utaja chukia malaika one day? Wee tu km ulivo una vumiliwa humu km hujui....
 
Huwa napenda nikitazama video YouTube ninasoma na Comments ili kutanua upeo wangu zaidi kwa kuyasoma mawazo ya wachangiaji tofauti tofauti kwenye kipengele cha comment,

NIKITAZAMA CHANNEL ZA NJE HUWA WANACOMMENTS MAMBO SAFI SANA WALE JAMAA NI MAMASTER MIND KWAKWELI, UNAWEZA UKABAKI KWENYE KIPENGELE CHA COMMENTS TU NA UKAELEWA VIDEO INAHUSU NIN

Lakin sisi bhana hakuna lolote linalofanyika kwenye kile kipengele adi wanaboa, utakuta channel ime-upload video ihusuyo maybe siasa, uchumi, historia, tukio au maafa n.k lakin ukija kwenye Comment kupanua wigo wako wa kufikiri na kujua zaidi unakutana na watu wa ajabu kama hawa,

-Leo nimewahi naomba likes zenu.

-sijawahi kupata likes nyingi, leo naombeni likes zenu.

- safiiii,. Vizurii,

IKIWA TUKIO LA KIFO BASI COMMENTS ZOTE ZITATAWALA
R.I.P,,. INALILAHI, APUMZIKE KWA AMANI, ALAZWE MAALI PEMA,

Yaani unaweza ukakuta hata watu 200 hakuna mchango wa maoni unaoeleweka zote upuuzi tu.

Tunakwama wapi au elimu zetu finyu sana kuchangia maoni heri usikomenti basi tunakuwa kama hatuna AKILI
Elimu,Mila na Woga
 
Back
Top Bottom