ndiyo me ni mpuuzi juu niko nafanya kazi kwa inchi yenyu nyie mume lala.
Nimefurahi ulivyokubali kuwa wewe Ni mpuuzi, umekubali kufanya kazi kwa nchi yetu kuchangia pato la taifa 'national income' la Tanzania kwanini? Is it because kwenu hakuna fursa?. Ungekuwa mbunifu ungebaki Kenya upambane na fursa za kwenu. Na nyie mmewaajiri makaburu, huku wananchi wakihangaika nchi jirani kutafuta Ajira. Na nyie bado kurudi ukoloni muwe na raisi muzungu. Sisi tuache na nyuchi zetu... Hazikuhuuuu....!
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums