TAMKO
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 1,090
- 763
Mnayo habari kwamba tunaelekea uchaguzi mkuu Octoba 25 mwezi keshokutwa?!!!! Au hamnayo taarifa hii..! Kama huna basi uwe nayo na kama unayo basi maanisha unayo.
Kuna matukio mfululizo yameanza kwenda ndivyo sivyo, kuanzia TUME YENYEWE YA UCHAGUZI mfano tukio la kukosekana kwa taarifa za mpigakura kituoni, tume kuchomeka wataalam Wa kigeni kwenye ofisi zake au TCRA na vyombo vyake vya habari kwa Ubaguzi na ukandamizaji Wa habari na udhibiti Wa kimaksudi Wa vyombo hivi plus wanaojiita wasomi. Matukio haya yanayo zidi na yatazidi kushamiri TUYAKOMESHE. NASEMA tuacheni uzembe TUYAKOMESHE. Ni mchakato wa maandalizi ya kuipasua nchi yetu wenyewe.. HATUWEZI kukubali watu wawili watatu watuchafulie nchi tumekodoa mimacho tu.
Mambo ya kulalamika tu bila kuchukua hatua ni Ujinga mkubwa zaidi. It is the time for ACTION. Hatuwezi kushinda kwenye mitandao tukilalamika na kulalama huku mijitu ikiendelea tu na mazoezi machafu ya kuharibu nchi.
Kama wote washikadau Wa Amani, tume za haki za binaadam, wanasheria wabobezi, viongozi wenye dhamana, vutuo vya haki za binaadam na mashirika mengine watakaa kimya.. Fine Mimi sita kaa kimya. I will fight for my beutiful Tanzania land alone.
Udau Wa Amani sio utashi Wa jukwaa la siasa peke yake, Kuwaachia wanasiasa wafanye watakavyo sio sawa, lazima waonywe .. Amani ikitoweka wanasiasa wana hela zao watapandazao KLM na kutokomea ughaibuni, walalahoi tutabaki tunachapana mangumi wenyewe. Kila mdau Wa nchi lazima afanye jambo kutetea ardhi yetu.
Let go to the political game, Naamini mwarobaini pekee Wa kunusuru amani Yetu ni UWAZI. Uwazi kwenye kupiga kura, kuhesabu, kubandika matokea mapema na itasaidia kuondoa sintofaham. Ila kufichaficha, matumizi ya nguvu za kidola na kipigo au kuweka hira yoyote kwenye zoezi zima ni dhambi mbaya sana.