HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,691
- 2,303
Dini ndiyo silaha kubwa ya mafisadi na ndiyo chanzo cha uoga wa kijinga wwakitaka fedha mnaambiwa mkafanye kazi ili mpeleke sadaka na kodi ila mkitaka mageuzi mnaambiwa liombeeni taifa na mtii mamlaka.
Kwa ujinga wa dini hizihizi hamtoboi kamwe huko Nepal wameweka dini na maombi pembeni wakaingia mitaani wameweza kuuondoa utawala wa kifisani ninyi mnakomaa na NOVENA na maombi haya kazaneni watu wakiendelea kula nchi.