Tumeshuhudia watanzania wengi tuliyowaamini wakifanya au kutenda tusivyotarajia na tofauti kabisa na misimamo yao. Hapa kuna orodha ndefu, Dr Slaa, Hamphrey Polepole, Mzee Warioba, Juliana Shonza, Bakari Mwapachu, Madabida, Msukuma nk.
Hawa ni watu kwa siku za karibuni huwezi kujua wanaamini nini na wanatenda nini. Lakini kiboko yao atakuwa Dr Riyoba, naamini atavunja rekodi ya kuishi na kutenda asichokiamini na watanzania sasa watajua kwamba kila linapokuja suala la masirahi mtanzania anamtoa kafara hata mama yake ili yeye afanikiwe.
Dr Riyoba namfahamu sana, sana, sana! Subirini muone kama hatatetea TBC kutorusha matangazo ya bunge live, subiri muone kama Dr mwenye msimamo usiyoyumba kama habari namba moja kwenye vituo vyote vya TBC haitaihusu CCM. Subirini muone matangazo live yatakuwa yapi kama si CCM wana function fulani.
Navyomjua Dr Riyoba kukubali tu uteuzi wa kuwa Mkurugenzi TBC tayari ametuondolea imani yetu tuliyokuwa nayo kwake. Akidhani ana uwezo wa kufanya chochote tofauti na matakwa ya Nape na waafidhina wenzake amuulize Tido