Watanzania huwa tunapenda kushangilia bila sababu

KAMA VILE UKO KICHWANI MWANGU
UNAKUTA MTU ANAONGEA AU ANAHUTUBIA HALAFU WANAOPASWA KUSIKILIZA NDIO KWANZA FULL SHANGWE KIASI KWAMBA HATA UKIMUULIZA JAMAA PALE ALISEMAJE ANAKUWA HAJUI. WENGI WA WATZ SIO WASIKILIZAJI BALI MASHABIKI UCHWARA HATA KWA MAMBO YA MSINGI.
 
Hapo ndio huwa naona maccm wote huwa mnaakili za kibashite bashite, ndio maana nchi hii haiendelei kwa kuongozwa na mijitu kama nyie yenye roho mbaya ña ubinafsi uliotukuka


Nikupe msaada wa mawazo kidogo. Biashara haiigwi, inakubidi wewe mwenyewe utumie akili yako ya kubuni vipya na kushindana na wenzio huku ukiangalia alama za nyakati ama upepo unakwendaje. Hizi biashara za vitumbua hazina tija kwa Tanzania tuitakayo.
 
Watz ubongo wao sijui umeingizwa kitu gani? Leo tunamsifia kikwete na nape. Wakati nape juzi tu amesababisha bunge lisiwe live. Mpka saivi bado hatujamaliza hata machungu ya kukosa bunge live.
Tusubiri magufuli aingie humo bungeni uone makofi yatakavokua zaid ya kikwete.
 
Back
Top Bottom