Watanzania hii imekaaje?

Watanzania hii imekaaje?

pharaoh_2

Senior Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
143
Reaction score
123
Nimeikuta mahali:-

WARAKA WA VIJANA OP.KIKWETE KWA VIONGOZI NA WAKUU WA SERIKALI.
Ndg. Sisi ni vijana wa op.kikwete kama tulivyo tanabaisha hapo juu!! Tumefanya kazi ya jkt na kulitumikia jeshi la kujenga Taifa takribani miaka 3. Tumeshiriki katika operation mbali mbali ndani ya nchi yetu kama ifuatavyo: operation shamba- hii ilikuwa ni program ya kuzalisha chakula ndani ya jeshi la kujenga Taifa , operation Mifungo - hii ilikuwa ni kuhakikisha mifugo yetu ya jeshi la kujenga Taifa inashiba na kwenye op hii kulikuwa na changamito zake mara kadhaa tumekoswa koswa na tembo,simba nk, tumeshiriki operation Bangi - hii ilikuwa ni kupambana na walima bangi ndani ya nchi yetu wanaoharibu vijana na nguvu kazi ya Taifa kwa ujumla, tumeshiriki operation kibiti!! Hii kila kiongozi tunadhani anaelewa vyema, tumeshiki operation madawati na ujenzi wa nyumba za walimu pamoja na mashule pia tumekuwa tukishiki ulinzi wa nchi yetu kupitia vikosini na sehemu mbali mbali pale ilipobidi, lakini mbali na kushiriki operation zote hizo na kulitumia Taifa ili kwa moyo mmoja tumeambulia kurudishwa nyumbani na nafasi zetu kuchukuliwa na vijana ambao hata mwaka walikuwa hawana ndani ya jeshi la kujenga taifa yani (JKT). Hata usaili wa jwtz walikuwa hawajafanya kwaiyo hatujui walichukuliwa kwa vigezo vipi na sisi tuliachwa kwa vigezo vipi!!! Ni masikikitiko makubwa sana wale wanao ongea kwenye vyombo vya habari na kuhubili uzalendo ndo wanakuwa mstali wa mbele kuwavunja moyo na uzalendo vijana wa Kitanzania. Uzalendo utatoka wapi kwa namna hii?? Kama wananchi wanaamini ndani ya jeshi ndo kunatendeka haki lakini sasa inakuwa kinyume chake !! Taifa ili tunalipeleka wapi?? Tunafahamu Jkt hawaajiri pia tunatambua na kuheshimu sana Mkataba tulioingia na Jkt lakini ajira zilizotolewa ndani ya Jwtz kupitia Mh. Rais akiwa Arusha hazikufuata utaratibu yani seniority!! Waliopata nafasi hizo ni watoto wa wakubwa jeshini wala si watoto wa maskini kama serikali yetu tukufu inavyo taka!!! Tunachelea kusema hata jina la jeshi basi libadilishwe yani liwe "jeshi la Wanajeshi" badala ya "Jeshi la wanachi". Maana wanufaika wakubwa wa ajira hizo ni familia za kijeshi!! Rai yetu!! Kwa viongozi na serikali Nchi hii ni yetu wote! Hakuna sababu ya sisi kutengwa. Hata jeshi la polisi wametoa nafasi lakini sisi tumeendelea kutengwa!!! Dhambi yetu ni nini hasa? Je hatuna vigezo? Au sisi ni kina nani ndani ya Taifa ili mpaka tutengwe hivi? Chonde chonde tunaomba ajira na sisi ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama vya Taifa letu ili Pendwa Tanzania. Sisi si wanaharakati na hatufikirii kuwa wana harakati Bali ni vijana wazalendo kabisa wenye vilio na manunguniko ndani ya nafsi zetu na tunaomba kilio hichi kisikike kwa viongozi wetu hasa wazalendo na waangalie namna njema ya kutusaidia. Aksanteni.
 
Ndugu sisi ni watoto wa wanyonge tuliorudishwa vikosi vya JKT Tanzania nzima -- tupo vijana zaidi ya 1600 -- wazazi wetu ni masikini na wanyonge , hawana sauti yoyote serikalini na wengine walshatangulia mbele ya haki -- hivyo baada ya MUNGU tunaamini nyie viongozi mnaweza kutusaidia -- shida yetu ni kuajiliwa katika vyombo vya ulinzi na usalama ( JWTZ, POLICE, UHAMIAJI, MAGEREZA NA JESHI LA ZIMAMOTO) -- Kwani tumekuwa watiifu na wavumilivu kwa kiwango chote tangu tulipoanza kozi 20/Julai,2015 hadi tunarudishwa nyumbani January, 2018-- tulipokuwa vikosini kulikuwa na mgawanyo wa kazi na fatiki mbalimbali za kijeshi -- kunawengine walienda kwenye operation mbalimbali kama vile kutengeneza madawati, ujenzi wa shule, na ujenzi wa ukuta kwenye migodi ya Tanzanite huko Manyara ilehali wengine waliendelea na fatiki ngumu za kijeshi na uzalishajimali ndani ya vikosi vya JKT -- sasa chaajabu ajira znakuja kutolewa kwa waliojenga UKUTA WAKATI TULIOKUWA VIKOSINI TULIFANYA FATIKI NGUMU KULIKO HATA KUJENGA UKUTA--- ifahamike ndani ya JKT tulijifunza matumizi ya siraha ndogondogo za kivita kama vile SMG, RPG,SR,AK47 NA MABOMU YA KURUSHA KWA MKONO pamoja na mbinu za kivita -- tulizingatia kwa kiina hali tukijua ni ujuzi tutakaoutumia kwenye vyombo mbalimbali vya ulinzi na Usalama wa nchi yetu --- TUNAWAANDIKIA NYIE VIONGOZI HALITUKIJUA BAADA YA MUNGU NYIE NDO WENYE KUTUSAIDIA SISI VIJANA WENU WA OPERATION KIKWETE -- hatuna lengo baya maana tunakumbana na vishawishi vya kuunda na kujiunga na makudi ya uhalifu na uasi ndani na nje ya nchi kulingana na matumizi ya siraha tulizozitaja hapo juu. Hatupendi kufikia huko kwani tutakuwa tumeiharibu sura ya nchi yetu kimataifa ambayo inasifika kuwa na amani --- UASI NI KITENDO KIBAYA SANA NA HATUKITAKI KABISA KATIKA NCHI YETU --- sisi ni WATOTO WA WANYONGE OPERATION KIKWETE TULIORUDISHWA NYUMBANI KUTOKA VIKOSI VYA JKT
 
Watasema wametumwa na CHADEMA!

Hii nchi mali ya watu wachache wao na familia zao.

Soon vigogo watajitokeza na manyota yao kuja kukanusha kwa majibu rahisirahisi tu.

Wacha kila mtu aendelee kuguswa ila iwe rahisi kila mtu kusema sasa basi (yatosha).
 
Huu uzi nauogopa maana naweza nikacoment then nje nasikia muungurumo ule special kwa magari ya serikali...
 
Mnamtisha nani? Mimi huwa sipangiwi, tena ukinipangia ndio sifanyi kabisaaaa!
 
Poleni sana, labda walikuwa wanataka kuwapa ujasiri na kuwapa uzoefu wa ujasiriamali ili mkajiajiri wenyewe, kwa hiyo nendeni mkatumie ujasiri na uzoefu mlioupata kwa kujiajiri wenyewe
 
Mwanzoni nilifikiri hoja ya vijana INA mantiki.Lakini niliposoma eneo kwamba wao wamejifunza matumizi ya silaha hivyo wanaweza kuzitumia kinyume na malengo ya taifa ktk kuwafundisha weledi wa matumizi ya silaha hizo mwandishi wa ujumbe ni mpuuzi kiasi najuta kwa nn nimepoteza muda kusoma hii post.wanataka kulazimisha ajira kwa kuitisha serkali.Wapuuzi wakubwa hawa.Si watumie ujuzi wa kilimo wanaokiri kuupata huko?
 
Nimeikuta mahali:-

WARAKA WA VIJANA OP.KIKWETE KWA VIONGOZI NA WAKUU WA SERIKALI.
Ndg. Sisi ni vijana wa op.kikwete kama tulivyo tanabaisha hapo juu!! Tumefanya kazi ya jkt na kulitumikia jeshi la kujenga Taifa takribani miaka 3. Tumeshiriki katika operation mbali mbali ndani ya nchi yetu kama ifuatavyo: operation shamba- hii ilikuwa ni program ya kuzalisha chakula ndani ya jeshi la kujenga Taifa , operation Mifungo - hii ilikuwa ni kuhakikisha mifugo yetu ya jeshi la kujenga Taifa inashiba na kwenye op hii kulikuwa na changamito zake mara kadhaa tumekoswa koswa na tembo,simba nk, tumeshiriki operation Bangi - hii ilikuwa ni kupambana na walima bangi ndani ya nchi yetu wanaoharibu vijana na nguvu kazi ya Taifa kwa ujumla, tumeshiriki operation kibiti!! Hii kila kiongozi tunadhani anaelewa vyema, tumeshiki operation madawati na ujenzi wa nyumba za walimu pamoja na mashule pia tumekuwa tukishiki ulinzi wa nchi yetu kupitia vikosini na sehemu mbali mbali pale ilipobidi, lakini mbali na kushiriki operation zote hizo na kulitumia Taifa ili kwa moyo mmoja tumeambulia kurudishwa nyumbani na nafasi zetu kuchukuliwa na vijana ambao hata mwaka walikuwa hawana ndani ya jeshi la kujenga taifa yani (JKT). Hata usaili wa jwtz walikuwa hawajafanya kwaiyo hatujui walichukuliwa kwa vigezo vipi na sisi tuliachwa kwa vigezo vipi!!! Ni masikikitiko makubwa sana wale wanao ongea kwenye vyombo vya habari na kuhubili uzalendo ndo wanakuwa mstali wa mbele kuwavunja moyo na uzalendo vijana wa Kitanzania. Uzalendo utatoka wapi kwa namna hii?? Kama wananchi wanaamini ndani ya jeshi ndo kunatendeka haki lakini sasa inakuwa kinyume chake !! Taifa ili tunalipeleka wapi?? Tunafahamu Jkt hawaajiri pia tunatambua na kuheshimu sana Mkataba tulioingia na Jkt lakini ajira zilizotolewa ndani ya Jwtz kupitia Mh. Rais akiwa Arusha hazikufuata utaratibu yani seniority!! Waliopata nafasi hizo ni watoto wa wakubwa jeshini wala si watoto wa maskini kama serikali yetu tukufu inavyo taka!!! Tunachelea kusema hata jina la jeshi basi libadilishwe yani liwe "jeshi la Wanajeshi" badala ya "Jeshi la wanachi". Maana wanufaika wakubwa wa ajira hizo ni familia za kijeshi!! Rai yetu!! Kwa viongozi na serikali Nchi hii ni yetu wote! Hakuna sababu ya sisi kutengwa. Hata jeshi la polisi wametoa nafasi lakini sisi tumeendelea kutengwa!!! Dhambi yetu ni nini hasa? Je hatuna vigezo? Au sisi ni kina nani ndani ya Taifa ili mpaka tutengwe hivi? Chonde chonde tunaomba ajira na sisi ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama vya Taifa letu ili Pendwa Tanzania. Sisi si wanaharakati na hatufikirii kuwa wana harakati Bali ni vijana wazalendo kabisa wenye vilio na manunguniko ndani ya nafsi zetu na tunaomba kilio hichi kisikike kwa viongozi wetu hasa wazalendo na waangalie namna njema ya kutusaidia. Aksanteni.
Hiyo sio op yenu tuu nakumbuka hata op uzalendo kuna baadhi ya vijana wengi sana wamefanyiwa hivyo hivyo ma wakarudi uraiani na kazi kubwa sana walifanya vijana walienda hadi loliondo kwa babu kufanya kazi na hakuna waliojiriwa na wako uraiani saa hivi kama utakumbuka kuna vijana saliwahi kuandamana kutaka ajira niiongoni mwao hivyo ni kawaida sana kwa vijana wa jkt kutumika na kurudishwa uraiani japo inauma lakini hamna lakini ndo hivyo mi naona kama wanafanya hivyo ili wapate askari wengi suma jkt maana ile kampuni nayo ni mi naina kama ulaji wa wakubwa
 
Ndugu sisi ni watoto wa wanyonge tuliorudishwa vikosi vya JKT Tanzania nzima -- tupo vijana zaidi ya 1600 -- wazazi wetu ni masikini na wanyonge , hawana sauti yoyote serikalini na wengine walshatangulia mbele ya haki -- hivyo baada ya MUNGU tunaamini nyie viongozi mnaweza kutusaidia -- shida yetu ni kuajiliwa katika vyombo vya ulinzi na usalama ( JWTZ, POLICE, UHAMIAJI, MAGEREZA NA JESHI LA ZIMAMOTO) -- Kwani tumekuwa watiifu na wavumilivu kwa kiwango chote tangu tulipoanza kozi 20/Julai,2015 hadi tunarudishwa nyumbani January, 2018-- tulipokuwa vikosini kulikuwa na mgawanyo wa kazi na fatiki mbalimbali za kijeshi -- kunawengine walienda kwenye operation mbalimbali kama vile kutengeneza madawati, ujenzi wa shule, na ujenzi wa ukuta kwenye migodi ya Tanzanite huko Manyara ilehali wengine waliendelea na fatiki ngumu za kijeshi na uzalishajimali ndani ya vikosi vya JKT -- sasa chaajabu ajira znakuja kutolewa kwa waliojenga UKUTA WAKATI TULIOKUWA VIKOSINI TULIFANYA FATIKI NGUMU KULIKO HATA KUJENGA UKUTA--- ifahamike ndani ya JKT tulijifunza matumizi ya siraha ndogondogo za kivita kama vile SMG, RPG,SR,AK47 NA MABOMU YA KURUSHA KWA MKONO pamoja na mbinu za kivita -- tulizingatia kwa kiina hali tukijua ni ujuzi tutakaoutumia kwenye vyombo mbalimbali vya ulinzi na Usalama wa nchi yetu --- TUNAWAANDIKIA NYIE VIONGOZI HALITUKIJUA BAADA YA MUNGU NYIE NDO WENYE KUTUSAIDIA SISI VIJANA WENU WA OPERATION KIKWETE -- hatuna lengo baya maana tunakumbana na vishawishi vya kuunda na kujiunga na makudi ya uhalifu na uasi ndani na nje ya nchi kulingana na matumizi ya siraha tulizozitaja hapo juu. Hatupendi kufikia huko kwani tutakuwa tumeiharibu sura ya nchi yetu kimataifa ambayo inasifika kuwa na amani --- UASI NI KITENDO KIBAYA SANA NA HATUKITAKI KABISA KATIKA NCHI YETU --- sisi ni WATOTO WA WANYONGE OPERATION KIKWETE TULIORUDISHWA NYUMBANI KUTOKA VIKOSI VYA JKT
Yaani haya ndio mawazo ya vijana wote 1600 wanaodai ni watoto wa wanyonge na maskini...?
Walikutana wapi wakaandika haya..?
 
Karibuni duniani, It's a big ugly world out here.
BTW kuwa mtoto wa "masikini na wanyonge" sio sifa, unapaswa kulichukia hilo na kupigana katika maisha ujinasue huko badala ya kulitumia kutafuta huruma kutoka kwa watawala.
 
Mkataba ndio utawafunga hapo mtakumbuka zile nafasi za magereza kila mtu anazikacha ili avae baka baka mungu awatie nguvu ujuzi mliopata muutumie kujikomboa
beggars can't be choosers, watazikumbuka hizo za magereza
 
Nimeikuta mahali:-

WARAKA WA VIJANA OP.KIKWETE KWA VIONGOZI NA WAKUU WA SERIKALI.
Ndg. Sisi ni vijana wa op.kikwete kama tulivyo tanabaisha hapo juu!! Tumefanya kazi ya jkt na kulitumikia jeshi la kujenga Taifa takribani miaka 3. Tumeshiriki katika operation mbali mbali ndani ya nchi yetu kama ifuatavyo: operation shamba- hii ilikuwa ni program ya kuzalisha chakula ndani ya jeshi la kujenga Taifa , operation Mifungo - hii ilikuwa ni kuhakikisha mifugo yetu ya jeshi la kujenga Taifa inashiba na kwenye op hii kulikuwa na changamito zake mara kadhaa tumekoswa koswa na tembo,simba nk, tumeshiriki operation Bangi - hii ilikuwa ni kupambana na walima bangi ndani ya nchi yetu wanaoharibu vijana na nguvu kazi ya Taifa kwa ujumla, tumeshiriki operation kibiti!! Hii kila kiongozi tunadhani anaelewa vyema, tumeshiki operation madawati na ujenzi wa nyumba za walimu pamoja na mashule pia tumekuwa tukishiki ulinzi wa nchi yetu kupitia vikosini na sehemu mbali mbali pale ilipobidi, lakini mbali na kushiriki operation zote hizo na kulitumia Taifa ili kwa moyo mmoja tumeambulia kurudishwa nyumbani na nafasi zetu kuchukuliwa na vijana ambao hata mwaka walikuwa hawana ndani ya jeshi la kujenga taifa yani (JKT). Hata usaili wa jwtz walikuwa hawajafanya kwaiyo hatujui walichukuliwa kwa vigezo vipi na sisi tuliachwa kwa vigezo vipi!!! Ni masikikitiko makubwa sana wale wanao ongea kwenye vyombo vya habari na kuhubili uzalendo ndo wanakuwa mstali wa mbele kuwavunja moyo na uzalendo vijana wa Kitanzania. Uzalendo utatoka wapi kwa namna hii?? Kama wananchi wanaamini ndani ya jeshi ndo kunatendeka haki lakini sasa inakuwa kinyume chake !! Taifa ili tunalipeleka wapi?? Tunafahamu Jkt hawaajiri pia tunatambua na kuheshimu sana Mkataba tulioingia na Jkt lakini ajira zilizotolewa ndani ya Jwtz kupitia Mh. Rais akiwa Arusha hazikufuata utaratibu yani seniority!! Waliopata nafasi hizo ni watoto wa wakubwa jeshini wala si watoto wa maskini kama serikali yetu tukufu inavyo taka!!! Tunachelea kusema hata jina la jeshi basi libadilishwe yani liwe "jeshi la Wanajeshi" badala ya "Jeshi la wanachi". Maana wanufaika wakubwa wa ajira hizo ni familia za kijeshi!! Rai yetu!! Kwa viongozi na serikali Nchi hii ni yetu wote! Hakuna sababu ya sisi kutengwa. Hata jeshi la polisi wametoa nafasi lakini sisi tumeendelea kutengwa!!! Dhambi yetu ni nini hasa? Je hatuna vigezo? Au sisi ni kina nani ndani ya Taifa ili mpaka tutengwe hivi? Chonde chonde tunaomba ajira na sisi ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama vya Taifa letu ili Pendwa Tanzania. Sisi si wanaharakati na hatufikirii kuwa wana harakati Bali ni vijana wazalendo kabisa wenye vilio na manunguniko ndani ya nafsi zetu na tunaomba kilio hichi kisikike kwa viongozi wetu hasa wazalendo na waangalie namna njema ya kutusaidia. Aksanteni.

Sitaki ku-comment hapa kwani TPDF naiheshimu sana....lakini uzi huu ni very serious...kama upo ukweli something has to be done..dah...nimesema sitaki ku-comment lakini najikuta na-comment.
 
Mkataba ndio utawafunga hapo mtakumbuka zile nafasi za magereza kila mtu anazikacha ili avae baka baka mungu awatie nguvu ujuzi mliopata muutumie kujikomboa
Hahahha daaah nacheka kama mazury ati apo ndo watakumbuka nin? Hahaha
 
Back
Top Bottom