LadyRed, I appreciate what you have written here. Ila naomba ukumbuke jambo hili: huna guarantee kuwa hata usipokosoa utakuwa salama. Ila naomba pia ujue kuna guarantee kuwa tusipofanya kitu leo mimi na wewe wajukuu (kama si watoto wetu) hawatakuwa salama.