Watanzania hatuthamini muda

Explainer

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2015
Posts
517
Reaction score
508
Nipo hapa Airport Dar es salaam, barabarani nimeona mamia ya magari ya abiria na binafsi, aisee wamesimama tu muda mrefu wamesubilishwa kwaajiri ya misafara ya viongozi wakuu wa nchi.

Takribani takika 45 mbele ndio naona kuna ndege zinatua hapa....Inawezekana kabla hata kiongozi hajaanza safari huko atokako, huku barabarani raia huwa wanapigwa stop ya maana.

Sasa bado watanzania wapo kwenye foreni wanasubili mkuu apumzike kidogo uwanjani hapo, Kisha asalimiane na watu, alafu ndio taratiibu aanze safari kwenda town, na Kisha huku nyuma fungulia wuu wuu ifanyike.. Kuna thamani ya muda kweli?
 
Ili jambo linakwaza hadi unajiuliza hivi hakuna namna nyingine viongozi wakatumia
 
Kuna mdau alisema uhuru umepitiliza hii nchi inabdi tuLipie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…