Barabara nyingi sana za mitaani (hasa maeneo yasiyopimwa) ni nyembamba sana kiasi cha kwamba magari yanashindwa kupishana. Watu hawaoni umuhimu kutenga barabara kwa ukubwa unaofaa. Tatizo ni nini? Au mpaka tuwasubiri serikali?