Hapo kwenye wenye kipato cha chini hoja yako haijakaa sawa, hivi akiandaa tamasha pale leaders kiingilio kikawa iyo elfu 10,000 hata weza kujaza huo uwanja? Na kukuza brand yake?Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake.. Nakubaliana na wewe Vanessa yupo juu kwa sasa Baada ya WCB cha ajabu anakomaa na show mara sijui igunga mara sijui vyuon huko iringa.... Lakini kwa upande mwingine anachofanya ni sawa maana anatoa burudan kwa watu wake wote wenye kipato cha chini wasio na uwezo... Yote sawa sema mitazamo tofauti kubwa ni kuwa kama ana kipaji apige kazi ipo siku
Mimi si mpenzi wa mziki wa kizazi kipya lakini kwa wakati mchache ninaoangaliaga hii miziki nimegundua kuwa aina ya mziki anaoufanya huyo binti kwa kiasi kikubwa unamtenga na hadhira ya hapa nyumbani kwa kuwa katika mziki anaweka uzungu mwingi mpaka anakuwa kinyaa kama sio kutia kichefu chefu....ni binti mrembo mwenye sauti nzuri sana isipokuwa tu matendo yake afanyapo huo mziki ndio vinavyotia kinyaa kama sio kutapisha kabisa.....
Kwa kila anayemfahamu huyo ni lazima atakubaliana na mimi kuwa vidio ya mziki wa huyo binti huwezi kutazama ukiwa na watu ambao unawaheshimu labda wote muwe wendawazimu au muwe mmelewa.....
Yaani amekuwa hayathamini kabisa maungo yake nyeti....bila ya kusahau na kutuimbia kwa kiingereza ambapo anajua wazi kuwa sisi tulio wengi lugha hiyo ni kitendawili ambapo inakulazima uwe na kamusi ili kuuelewa mziki wake.......
Kwa kifupi huyo binti anatakiwa abadilike na apige mziki wa kinyumbani zaidi ambao unawagusa wananchi moja kwa moja......
Nawasilisha.....
KUBALI imeimbwa na Future Jnl, kama sijakoseaList wa wasanii wanaofanya vizuri kimataifa
1.Diamond platnumz.
2.Vannesa mdee
3.Navy kenzo
4.Joh makini
5.Ali kiba
Najua Kuna watu watanipinga lkn kama mfuatiliaji mzuri wa station kama mtv, trace na stv rotation ya nyimbo zao ni kubwa. Nirudi kwenye mada husika Vannesa ni msanii mkubwa sana na hata nyimbo yake ya niroge bonge la hiti, ila wanaotuaharibia mziki wetu ni kiba na mondi ambao wameziteka kuanzia media mpaka watangazaji plus mashabiki oya oya hawaoni wala hawambiwi. Ukiangalia nyimbo zilizotoka kipindi hiki Kuna nyimbo kali kuliko Aje lkn hazipati rotation ya kutosha kama NIROGE ya Vannesa, SAMAKI ya Galatone, MOYO MACHINE wa Ben Pol, KUBALI jina la msanii limenitoka ila video wamefanya kwetu studio, ukizitizama hizi nyimbo ni kali sana. Tukitaka mziki wa bongo uwe fair kwanza lazima hii beef na hizi tim zife ndio media na watangazaji watawaona hawa wasanii la sivyo kiba na Dimond hata watoee nyimbo mbaya vipi zinaonekana nzuri tu.
ni kweli aina ya mziki wake unatushinda tulio wengiMimi si mpenzi wa mziki wa kizazi kipya lakini kwa wakati mchache ninaoangaliaga hii miziki nimegundua kuwa aina ya mziki anaoufanya huyo binti kwa kiasi kikubwa unamtenga na hadhira ya hapa nyumbani kwa kuwa katika mziki anaweka uzungu mwingi mpaka anakuwa kinyaa kama sio kutia kichefu chefu....ni binti mrembo mwenye sauti nzuri sana isipokuwa tu matendo yake afanyapo huo mziki ndio vinavyotia kinyaa kama sio kutapisha kabisa.....
Kwa kila anayemfahamu huyo ni lazima atakubaliana na mimi kuwa vidio ya mziki wa huyo binti huwezi kutazama ukiwa na watu ambao unawaheshimu labda wote muwe wendawazimu au muwe mmelewa.....
Yaani amekuwa hayathamini kabisa maungo yake nyeti....bila ya kusahau na kutuimbia kwa kiingereza ambapo anajua wazi kuwa sisi tulio wengi lugha hiyo ni kitendawili ambapo inakulazima uwe na kamusi ili kuuelewa mziki wake.......
Kwa kifupi huyo binti anatakiwa abadilike na apige mziki wa kinyumbani zaidi ambao unawagusa wananchi moja kwa moja......
Nawasilisha.....
Inawezekana1. Aina ya nyimbo anazoimba (zina uzungu mwingi)
2. Kumbuka Vanessa mdee hana manager, anajiongoza mwenyewe na ushauri kutoka kwa weusi na the industry.. Hii kitu kwa namna moja au nyingine inaweza kuwa inamfelisha huwezi kufananisha na mtu kama Diamond mwenye managers 3 na washauri kibao
3. Hayupo controversial. Msanii kuwa na jina kubwa bila kuwa midomoni na akilini mwa mashabiki muda mwingi ni tatizo, watu wanakuwa hawana muda na wewe hata ukitoa nyimbo mapokezi ya youtube & mkito hayawi makubwa kiivo
Diamond (Mahusiano, tiffah, n.k)
Alikiba (Jokate, bifu na mond, ukaribu na Wema)
Jide (Vimbwanga vya ndoa) n.k
'''Naomba unirogee''' song la kiswaz kabisa