Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

hakuna cha intelligent kazi pale ni za kujuana tu hakuna lolote wengi ni sifuri tu
 
Msomi mpumbavu namba moja ni wewe mleta post. Issue ni kutumia Cheti na jina lisilo lake hii haijajibiwa. Tuhuma ya cheti huzimwa kwa kutoa cheti sio hizi abortive theories kama za kwako. Mjinga wewe.
 
Kwamba jina hilo kaapa mahakamani hivyo ni halali?
Jee Leo mie nikienda kuapa niitwe Harrison Mwakyembe basi na vyeti vyake vyote ni halali yangu?
hata ukujiita Freeman Mbowe na division 0 yake ya form six inahamia kwako!
 
Niko tayari kuitwa mnyama Mwenye jimwili kubwaaa bichwa Dogo ila kamwe siwezi kuwa upande wa huyo mtu wako anayejiita Sehemu ya Mungu huku anadhalilisha watu hadharani kwa Focus ya Kujijenga yeye zaid
Ziro
 
Nilijua umeleta cheti? Nilijua utakemea alichoenda kukifanya clouds? Kwanini ujaweka jina na namba yako ya simu akitumie pesa au uko kwenye payroll yake kama lemutuz?
 
Wewe
Niko tayari kuitwa mnyama Mwenye jimwili kubwaaa bichwa Dogo ila kamwe siwezi kuwa upande wa huyo mtu wako anayejiita Sehemu ya Mungu huku anadhalilisha watu hadharani kwa Focus ya Kujijenga yeye zaid
We we ngoja siku mtoto wako abwie unga ndio utapendelea kuitwa mnyama na ndo utajua umuhimu wa hao ambao hutaki watajwe wakati mtoto anapokuw teja mama huumwa uchungu Wa kuzaa moyon lkn hazai nimeona kwa macho kama makonda anafanya kwaajil yake atajua yy na Mungu wake Mimi simuhukumu...LA muhimu at least yy alitaja
 
Mleta mada, nakushauri mtafute Makonda unywe naye chai
 
Nimeisoma post yako name nilichojifunza no kwamba wewe ni mmoja Wa wapuuzi Wa nchi hii wanaotetea wahalifu.
Vita ya dawa za kulevya haipiganwi law kutajataja main a ya watu bila ushahidi. Fuatilia kila Kamanda Nzowa na Sianga walivyofanya kazi kwa ufanisi mkubwa.
Nikushauri tu, nenda kwa mkubwa wako aliyekutuma, umwambie atoe cheti chake halali cha shule alizosomea ili kuondoa utata Wa jina lake.
La kuvunda halina ubani, hata ujifanye msomi au mpambanaji kiasi gani kama ni mwizi ni mwizi tu.
 
kweli uko vizuri, nimeamua kumuangalia Paul kama mtu bright sana na Mwenye mafanikio kwenye kazi zake asiyeyumbishwa na anajua what is next. alimwambia mheshimiwa raisi Ubungo, "inawezekana ukabaki peke yako kwenye vita hii"
 
Kama watanzania wote we peke yako ndo mwenye Sifa nzuri unatusaidiaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…