Watanzania hata kumpongeza shem letu la "bba" jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania hata kumpongeza shem letu la "bba" jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Dec 8, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 30,403
  Likes Received: 4,399
  Trophy Points: 280
  SHEMU SHEMU SHEMU,SHEMU HILOO SHEMU SHEMU HILO SHEMU SHEMU HILOO SHEMU,HAMU HAMU HAMU,HAMU HIYO HAMU HAMU HIYO HAMU HAMU HIYO HAMU,DOLA DOLA,DOLA HIZO,DOLA DOLA HIZO DOLA DOLA HIZO DOLA,,,JAMANI SHEMU...SHEMU JAMANI DOLALI ....HAYA SHEMU WETU KUNA

  1)KILIMANJARO

  2)NGORONGORO CRATER

  3)MIKUMI NP

  4)SERENGETI NP

  5)JOLLY CLUB,

  6)AFRIKA SANA SINZA SEHEMU YA WAPENDANAO

  HIVI VYOTE NI VIVUTIO VYA NCHI YETU BAAADA YA ELIZA...UNAWEZA AMUA UTATUMIAJE PESA ZAKO MAHALI HAPA....ILA SINZA NENDA PEKE YAKO....KILA LA KHERI  Hongera sana bi elizabeth ,kwanza kwaushiriki mzuri kwenye jumba la BBA.ACHA HIYO NINAKUPONGEZA ZAIDI KWA KUONYESHA WATANZANIA NI VICHWA HATA TUKIONA HATUPATI USHINDI TUNAJUA KULENGA MAHUSIANO...
  ELIZABETH ULIONA MBALI SANA KUPENDWA/KUPENDA/KUPENDANA NA KELVIN..NAWAOMBEA MUNGU HERI NA FANAKA MUITUMIE PESA YA BBA KWA AMANI NA SALAMA ISIJE IKAWA VITUKO KAMA NDUGU YETU YALIOMTOKEA...KELVIN HONGERA SAANA,KUMBUKA MAFANIKIO YAKO ELIZABETH YUKO NYUMA YAKO...
   
 2. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hahahaha dada wa kichaga huyo aliona mbali...:)
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 30,403
  Likes Received: 4,399
  Trophy Points: 280

  huyu mtoto ni kuwa nae benet sasa hivi wachaga wanaponiacha hoi ni hapo hata ukienda kwenye mijumba magorofa masaki unakuta wanawake wa kichaga wamejaa kamanyuki

  aika mae
   
 4. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,155
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mbona sielewi lengo la hii thread jama.
  Kelvin kamuoa Lizzy au ndio ushemeji ule wa kusakiziana.
  Kama ndivyo pouwa tu akale zake raha uko mbele kwa mbele
  Jealousy ya kazi gani bwana, mimi napiga zangu debe mkono unaenda kinywani. Freshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,715
  Likes Received: 4,584
  Trophy Points: 280
  Hilo ndio debe lka jamaa kuoaa alitupaisha sana na bendera(jersey) ya taifa.......sasa watafutane tujue mojaa
   
 6. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #6
  Dec 8, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,860
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ujinga
   
Loading...