Watanzania hata kama hatuna elimu tujihadhari na tujifunze namna nzuri ya kutumia hizi Social Media, huyu amezinguwa

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,608
93,383
Inasikitisha Sana, hii ni thread inawahusu wasafiri, kama wewe si mtu wa safari skip pls.

Kuna mjinga mmoja Mtanzania New York Kwa kujuwa au kutokujuwa au kutafuta umaarufu kunuka anataka kuleta shida kubwa Sana.

EBM Yuko very smart, anafundisha njia halali za kuingia Marekani na kufanyakazi Marekani na pia Kwa wanaotaka rotary Viza anatowa huduma ya kuwajazia fomu.

Tatizo langu kuna mshamba mmoja New York aliyetokea mashambani Tanzania hajui madhara ya anachokifanya kuendesha mahojiano na wapumbavu wenzake kutowa code ambazo NI wasafiri tu ndio wanapaswa kuzijuwa, na kama wewe ni msafiri zipo channel sahihi za wewe kupata information zote

Huyu Jamaa hana akili kichwani.
IMG-20240321-WA0139.jpg

Cc; Nyani Ngabu Kiranga

IMG-20240321-WA0146.jpg
 
Huyu dogo haijui USA, anàfikiri Yuko tz yà CCM, ngoja FBI waidake hii 👆 clip, Kaisha, watamrudisha Bongo aje ale ugali na mlenda
Tunalishughurikia Hilo hii video iondolewe YouTube, tangu Jana huyo host kakaza shingo anadhani pesa za viewers zitasaidia kitu.

Tutamsomea hukumu ya Kibaharia atafurahi mwenyewe na roho yake.

Hiyo michezo yote inafanyika kabla hata ya hao mbwa wote wawili kuzaliwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom