malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,639
Jamani watanzania wenzangu bila kujali dini wala kabila tusifike kwa tofauti zetu za itikadi,dini, kabila rangi nk. tukafika mtu mmoja akaamua kuua mtu au watu kwa sababu hizo.
Yanayotokea Kenya, Nigeria, Mali Somaria nk hayapo mbali sana na sisi. sisi si malaika tunapaswa kujipanga na kurekebisha yale makosa yanayoweza sababisha vurugu na mauaji bila sababu za msingi.
Kama issue ni Dini basi tunaomba viongozi wetu wa dini mkae pamoja msungumze na kufikia muafaka, Kama ni Siasa basi wanasiasa msifikie kushawishi watu kuua kwa maslahi ya kundi flani la siasa(hata kama nguvu ya umma) na kama shida ni serikari yetu basi tuishinikize ifanye haki na kama haisikii tuamua hata kwa kuhimizana kutowachagua.