Watangazaji wetu: Juu tai, shati, koti ila chini jinsi /kaptula na raba

exactly, wawe serious na wabunifu kidogo, sijui nani aliwaambia mtangazaji wa kike kuvaa koti ndio kupendeza, kuna vishati/blauz classic hata vigauni mtu unaweza kuvaa na ukapendeza sana, na viwigi feki, si bora uchane nywele zako mwenyewe uwe simple
 
Back
Top Bottom