GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,681
- 109,092
Radio gani hao?Mnaacha Kujadili Manchester United nao 'Kufungwa' Bao Sita 'Mishipa' yenu 'imewakakamaa' tu Kuisema na Kuijadili tu Klabu pendwa ya 'Geniuses' wengi duniani Liverpool. Kama FC Barcelona miezi kadhaa tu ametoka 'Kuchezea' Goli Nane ila cha 'Kushangaza' wala hamkutumia muda mrefu Kuwachambua ila leo kila Redio imetumia muda mwingi Kuiongelea tu. Badilikeni!
Kuwa mpole mkuu. Hao watangazaji ukiwafuatilia unaweza ukashindwa kufuatilia kampeni za JPM kwenye luninga na redioMnaacha Kujadili Manchester United nao 'Kufungwa' Bao Sita 'Mishipa' yenu 'imewakakamaa' tu Kuisema na Kuijadili tu Klabu pendwa ya 'Geniuses' wengi duniani Liverpool. Kama FC Barcelona miezi kadhaa tu ametoka 'Kuchezea' Goli Nane ila cha 'Kushangaza' wala hamkutumia muda mrefu Kuwachambua ila leo kila Redio imetumia muda mwingi Kuiongelea tu. Badilikeni!
Hiyo shughuli ya Oct 18,, itafanyikia wapi mkuu?!!Ni mkakati wa kuzoea kuchambua goli saba au nane..Wanajiandaa na ile shughuli ya october 18.
NA LEO WASEME SASA TUMEPIGA MTU 7 UP NI MWENDO WA BACK TO BACK...WATAELEWA AKINA SHAFIIMnaacha Kujadili Manchester United nao 'Kufungwa' Bao Sita 'Mishipa' yenu 'imewakakamaa' tu Kuisema na Kuijadili tu Klabu pendwa ya 'Geniuses' wengi duniani Liverpool. Kama FC Barcelona miezi kadhaa tu ametoka 'Kuchezea' Goli Nane ila cha 'Kushangaza' wala hamkutumia muda mrefu Kuwachambua ila leo kila Redio imetumia muda mwingi Kuiongelea tu. Badilikeni!
Eti eee kweli inasikitisha haya bana