Watangazaji wa Morning Magic mnakera kwa kujionyesha wazi kuwa mnashabikia UKAWA

Kumtenganisha Kawau Na UKAWA Ni Sawa Na Kumtenganisha Yesu Kristo Wa Nazareth Na Wayahudi. Kitu Ambacho Hakiwezekani! Kati Ya Wachagga 100 Utakaokutana Nao 89 Watakuambia Wao Ni UKAWA Isipokuwa Kwa Wachagga Wanaojitambua Kama Akina Davis Mosha Na Jerry Muro Na Wale Wachache Wamebakii Na Kukomaa Na CHAMA CHETU BORA NA KIZURI CHA CCM.

Vile vile tupende kutambua uwepo wa Mwenyezi MUNGU kwa kauli tunazojaribu kutoa!
 
Wala Usipate Tabu Ndugu Yangu Kama Vipi Aza Tu Kusikiliza TBC Taifa Au Radio Free. Maana Huko Huwa Wanakisema Kile Unachokipenda Wewe.
 
Kabingo jifunze kuwa na uvumilivu wa kupondwa, ili nawe ukipat fursa unaponda, hivyo ni vitu vya kawaida ulia llia inabidi ubebwe kama alivyobebwa marry Edward kwa kautaratibu ketuu kale ka wadada wa mjini!
 
Kale ka merry hakana lolote zaidi yakubwabwaja pale ,kana asili yakichawi kama kabila lake la huko sumbawanga.Hakafai kuwa mke maana kuroga kwake ni jambo la lazima!

hivi wewe lofa sumbawanga imeingiaje hapa nyie mijitu inayoshabikia ccm sijui akili zenu huwa mnaazima akili za nguruwe kama unaakili timamu kweli unaweza kuishabikia ccm
 
Ni vibaya mtu kuwa kuwa na mawazo mema au kuongea mema?huyu dada anajitambua,mbona hamsemi kuhusu star TV,TBC,clouds etc
Umependa pasipo pendeka
 
Kwani Kama hupendi kusikia ukawa si Kuna radio ya fisiem, asikilize uhuru fm...swine kbsa!!
 
7335758372017891113
 
Back
Top Bottom