Hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu tumekuwa tukisikia Kiswahili kibovu kikitumiwa na baadhi ya watangazaji wa ITV na hasa matumizi ya neno "Lakini". Kwa mfano, mmoja wao alisema: "...Watazamaji na wasikilizaji wetu mnaojiunga sasa na ITV, Radio One Stereo 'lakini' Capital Radio...."
Sasa hapo neno "lakini" linaingiaje?
muhulize mama yako, au kafungue TV yako ukatangaze kiswahili sanifu. mbwa wewe
Katangaze wewe basi tusikie kiswahili chako
....kwani umelazimishwa kuangalia itv si uangalie tbc...
Mteule huteuliwa na kiongzi ngazi za juu mfano viti maalum vya cdm na kuchagiliwa huwa ni kwa kupiga kura
Pengine hiyo 'lakini' ni freudian slip of tongue hainishangazi sana kwa hawa watangazaji wetu na lugha ya kiswahili. Ila nashangaa sana ninapomsikia mtangazaji akisema: .........majeruhi watatu wa hiyo ajali walikimbizwa hospitali na njiani mmoja wa majeruhi aliweza kufariki!Hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu tumekuwa tukisikia Kiswahili kibovu kikitumiwa na baadhi ya watangazaji wa ITV na hasa matumizi ya neno "Lakini". Kwa mfano, mmoja wao alisema: "...Watazamaji na wasikilizaji wetu mnaojiunga sasa na ITV, Radio One Stereo 'lakini' Capital Radio...."
Sasa hapo neno "lakini" linaingiaje?
Pengine hiyo 'lakini' ni freudian slip of tongue hainishangazi sana kwa hawa watangazaji wetu na lugha ya kiswahili. Ila nashangaa sana ninapomsikia mtangazaji akisema: .........majeruhi watatu wa hiyo ajali walikimbizwa hospitali na njiani mmoja wa majeruhi aliweza kufariki!
Kiswahili kibovu sana cha matumizi ya 'kuweza'
Lakini inatumiwa sivyo, na siku hizi hata mwanasiasa namba moja naye hotuba zake ni hivyo hivyo, lakini... lakiniHasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu tumekuwa tukisikia Kiswahili kibovu kikitumiwa na baadhi ya watangazaji wa ITV na hasa matumizi ya neno "Lakini". Kwa mfano, mmoja wao alisema: "...Watazamaji na wasikilizaji wetu mnaojiunga sasa na ITV, Radio One Stereo 'lakini' Capital Radio...."
Sasa hapo neno "lakini" linaingiaje?