Stanley.
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 660
- 298
Kuna tabia ambayo inajirudia rudia kwa watangazaji wa star tv bungeni Dodoma hawazimi mic zao hivyo maongezi yao yanasikika pamoja na matangazo ya bunge. Mfano leo wakati simbachawene anajibu maswali alisikika Mtangazaji FARAJI MWAGOA anaiponda serikali kuwa majibu yake ni yale ya ' vuta subira' jitihada zinafanyika' na 'upembuzi yakinifu'. Muda huu pia amesikika dada anazungumza anacheka. Naomba wasijisahau!