Watangazaji Fountain Radio Moshi acheni vituko!

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
4,040
8,895
Leo wakati wa uchambuzi wa magazeti asubhi watangazaji hawa wamesikika wakiwahukumu na kuwaponda watuhumiwa wa kesi ya kuhamasisha maandamano huko Dodoma.

Kama nyie watangazaji Mama Diva, Desdery na Elia mlisoma civics o-level(kama mlipitia) mngejua kuwa maandamano yapo kikatiba na kisheria kabisa, pili hao jamaa waliokamatwa Dodoma ni watuhumiwa tu bado hawajafikishwa mahakamani na mahakama kuthibitisha kuwa hawana hatia au wana hatia, wewe Mama Diva umewaponda watu wanaomfatilia Mange Kimambi kuwa hamnazo kama huyo Mange.

Swali kwako hivi wewe unajifananisha na Mange anayeishi Los aAngels wewe unakaa njoro tena kodi unalipiwa na shemeji yako! Mange ana mapungufu yake ila lazima aheshimiwe kwani kuna mambo mengi tu anaongea ya maana. Wewe mama Diva kusoma kwenyewe hujui unasoma magazeti kama mtoto wa darasa la pili.
 
Leo wakati wa uchambuzi wa magazeti asubhi watangazaji hawa wamesikika wakiwahukumu na kuwaponda watuhumiwa wa kesi ya kuhamasisha maandamano huko Dodoma. Kama nyie watangazaji Mama Diva, Desdery na Elia mlisoma civics o-level(kama mlipitia) mngejua kuwa maandamano yapo kikatiba na kisheria kabisa, pili hao jamaa waliokamatwa Dodoma ni watuhumiwa tu bado hawajafikishwa mahakamani na mahakama kuthibitisha kuwa hawana hatia au wana hatia, wewe Mama Diva umewaponda watu wanaomfatilia Mange Kimambi kuwa hamnazo kama huyo Mange...swali kwako hivi wewe unajifananisha na Mange anayeishi Los aAngels wewe unakaa njoro tena kodi unalipiwa na shemeji yako! Mange ana mapungufu yake ila lazima aheshimiwe kwani kuna mambo mengi tu anaongea ya maana. Wewe mama Diva kusoma kwenyewe hujui unasoma magazeti kama mtoto wa darasa la pili, p.mbavu kabisa!
Basis hawana tofauti na wa Wapo Radio nao ni vihiyo kila kitu hawajui wala hawana uhakika zaidi ya kujifanya tawi la Lumumba.
 
Basis hawana tofauti na wa Wapo Radio nao ni vihiyo kila kitu hawajui wala hawana uhakika zaidi ya kujifanya tawi la Lumumba.
Yaani watangazaji vituko..hawajui hata jinsi ya kubalance na kuripoti story..
 
Sidhani kama wapo huku jf!! Lakini nikienda moshi nitawapa ujumbe
 
Back
Top Bottom