Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 875
- 2,346
"Uliwahi kutenga hata siku moja kumlilia mtu wako wa karibu ambaye ametangulia mbele ya hak?i"
Ubaya wa hawa tutaumaliza pale wananchi wote tukiamua kuwawakataaMbogamboga watu wabaya sana
Unaware kuwakataa mbele ya mtutu wa bundukiUbaya wa hawa tutaumaliza pale wananchi wote tukiamua kuwawakataa
Nguvu ya umma ukiamua hakuna cha bunduki wala kifaru.vyote husambaratishwa na nguvu ya ummaUnaware kuwakataa mbele ya mtutu wa bunduki
Mimi tayari nimeanzaAnza mkuu mbele yako nyuma yetu hadi watoke 💉
Katext kwanza mitambo balabalaniMimi tayari nimeanza
Tuungane pamoja kukinukisha barabarani.tusitegeane maana tukiikomboa nchi kutoka kwa maharamia tutakula matunda mema ya nchiKatext kwanza mitambo balabalani
Veni, vidi, viciMimi kama mtanganyika nilimkubali sana hamphrey polepole kutokana na elimu aliyokuwa anatupa watanganyika kwenye kipindi chake cha elimu ya uongozi.
Toka yaanze maandamano sikuwahi kushiriki lakini kwa kumteka polepole na wengine zaidi ya miamoja kama inavyoonesha taarifa ya TLS iliyosomwa na rais wa chama hicho boniphace mwambukusi imenipa ujasiri wa kuandamana siku ya sabasaba.
Bila kukinukisha kisawasawa,haya mambo ya utekaji hayataisha.haiwezekani mtu anauliwa mchana kweupe halafu wenye mamlaka wanakenua meno tu(mzee kibao,pepole,mdude,chaula,soka.n.k
KUIDAI HAKI LAZIMA BAADHI WAUMIE,WATANGANYIKA TUSIOGOPE KUUMIA MAANA HATA BAADHI YA MABABU ZETU KIPINDI WANAMTOA MKOLONI MWEUPE WALIUMIA NA KUPOTEZA MAISHA,NA SISI TUSIOGOPE KUMTOA MKOLONI MWEUSI.
Aluta continua...