Watanganyika amkeni usingizini

Watanganyika amkeni usingizini

canular

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
1,068
Reaction score
1,268
Amkeni Watanganyika

Tafakari hali yetu ya sasa: Taifa letu limeuzwa, tumechukuliwa mamlaka ya kumchagua au kumuweka kiongozi. Sasa tuna watu ambao hatuwataki wala hatukuwachagua.

Haki hii ambayo ni halali kwa kila raia wa taifa letu kikatiba imechukuliwa kwa Bunduki na risasi, taifa limenunuliwa.

Hiii ni hali ya kutisha, lakini tunaweza kubadilisha kwa nguvu za umoja wetu.

Tarehe 9 Desemba 2025, tuchukue hatua za kusitisha wizi huu na uhuni huu walioufanya CCM.

Twendeni kwenye maandamano ya amani tuwapinge na kuwakataa kila sehemu kwa nguvu na sauti moja.

Tufanyeni maandamano, tujitokeze kila mmoja na bango lake kuonesha upinzani wetu kwa wale walio nunua nchi yetu.

Tukumbuke, Watanzania wenzetu wameuwawa na hawa majambazi wahuni wa ccm, tusikubali kudanganywa tena.

Pamoja, kwa umoja na mshikamano, tuwapinge vikali ccm na wote wale walionunua Taifa letu.

Tarehe 9 Desemba, tuipe ujumbe dunia nzima hatuko tayali kutawaliwa kwa bunduki na risasi pia hatuko tayari kutawaliwa na watu yaliojiweka madarakani
 
Amkeni Watanganyika

Tafakari hali yetu ya sasa: Taifa letu limeuzwa, tumechukuliwa mamlaka ya kumchagua au kumuweka kiongozi. Sasa tunao wauwaji ambao hatuwataki wala hatukuwachagua. Haki hii ambayo ni halali kwa kila raia wa taifa letu kikatiba imechukuliwa kwa Bunduki na risasi, taifa limenunuliwa. Hiii ni hali ya kutisha, lakini tunaweza kubadilisha kwa nguvu za umoja wetu.
Tarehe 9 Desemba 2025, tuchukue hatua za kusitisha wizi huu na uhuni huu walio ufanya wauwaji wa ccm . Twendeni kwenye maandamano ya amani, tuwapinge hawa majambazi na wauwaji na tusiwape ushirikiano wowote katika taifa hili , tuwa pinge na kuwa kataaa kila sehemu kwa nguvu na sauti moja. tufanyeni Maandamano yasiyo na kikomo kuwaondoa hawa majambazi wa taifa letu wasitusaulishe mauwaji ya maelfu ya watanganyika waliyo fanya na tuendelee kuweka visasi rohoni mwetu na tujitokeze kila mmoja na bango lake kuonesha upinzani wetu kwa wale walio nunua nchi yetu.
Tukumbuke, Watanzania wenzetu wameuwawa na hawa majambazi wa huni wa ccm, tusikubali kudanganywa tena. Pamoja, kwa umoja na mshikamano, tuwapinge vikali ccm na wote wale walio nunua Taifa letu. Tarehe 9 Desemba, tuipe ujumbe dunia nzima hatuko tayali kutawaliwa kwa bunduki na risasi pia hatuko tayari kutawaliwa na majambazi yalio jiweka madarakani kwa siraha tufanyeni maandamano ya amani, turudishe haki yetu kisheria na kikatiba kuwachagua viongozi tunao wataka na tunao waamini na kurudisha taifa letu mikononi mwa watanganyika tusikubali kulikabidhi taifa hili kwa wapumbavu walio tumia mabavu na ubabe kujiweka madarakani

JWccm mlaanike ninyi na uzao wenu wote milele na milele damu zilizo mwagika ziwalilie masikioni mwenu kila sekunde
D9 Tunatoka na si kizembe....si kizembe
 
Amkeni Watanganyika

Tafakari hali yetu ya sasa: Taifa letu limeuzwa, tumechukuliwa mamlaka ya kumchagua au kumuweka kiongozi. Sasa tuna watu ambao hatuwataki wala hatukuwachagua.

Haki hii ambayo ni halali kwa kila raia wa taifa letu kikatiba imechukuliwa kwa Bunduki na risasi, taifa limenunuliwa.

Hiii ni hali ya kutisha, lakini tunaweza kubadilisha kwa nguvu za umoja wetu.

Tarehe 9 Desemba 2025, tuchukue hatua za kusitisha wizi huu na uhuni huu walioufanya CCM.

Twendeni kwenye maandamano ya amani tuwapinge na kuwakataa kila sehemu kwa nguvu na sauti moja.

Tufanyeni maandamano, tujitokeze kila mmoja na bango lake kuonesha upinzani wetu kwa wale walio nunua nchi yetu.

Tukumbuke, Watanzania wenzetu wameuwawa na hawa majambazi wahuni wa ccm, tusikubali kudanganywa tena.

Pamoja, kwa umoja na mshikamano, tuwapinge vikali ccm na wote wale walionunua Taifa letu.

Tarehe 9 Desemba, tuipe ujumbe dunia nzima hatuko tayali kutawaliwa kwa bunduki na risasi pia hatuko tayari kutawaliwa na watu yaliojiweka madarakani

D9 anayebaki nyumbani ni mtoto mchanga, mama mjamzito, wagonjwa na wazee. Watanganyika wengine wote tutakuwepo 🫵
 
Tanganyila inatakiwa kuongozwa na kiongozi mzalendo! Na siyo mamluki kutoka nje, akishirikiana na wahuni wake wachache + familia yake. Hii siyo nchi ya Kisultani. Hivyo ukombozi wa kweli haukwepeki hiyo D9.
 
Amkeni Watanganyika

Tafakari hali yetu ya sasa: Taifa letu limeuzwa, tumechukuliwa mamlaka ya kumchagua au kumuweka kiongozi. Sasa tuna watu ambao hatuwataki wala hatukuwachagua.

Haki hii ambayo ni halali kwa kila raia wa taifa letu kikatiba imechukuliwa kwa Bunduki na risasi, taifa limenunuliwa.

Hiii ni hali ya kutisha, lakini tunaweza kubadilisha kwa nguvu za umoja wetu.

Tarehe 9 Desemba 2025, tuchukue hatua za kusitisha wizi huu na uhuni huu walioufanya CCM.

Twendeni kwenye maandamano ya amani tuwapinge na kuwakataa kila sehemu kwa nguvu na sauti moja.

Tufanyeni maandamano, tujitokeze kila mmoja na bango lake kuonesha upinzani wetu kwa wale walio nunua nchi yetu.

Tukumbuke, Watanzania wenzetu wameuwawa na hawa majambazi wahuni wa ccm, tusikubali kudanganywa tena.

Pamoja, kwa umoja na mshikamano, tuwapinge vikali ccm na wote wale walionunua Taifa letu.

Tarehe 9 Desemba, tuipe ujumbe dunia nzima hatuko tayali kutawaliwa kwa bunduki na risasi pia hatuko tayari kutawaliwa na watu yaliojiweka madaraka
SOUTH SUDAN WALIPAMBANA MPAKA WAKAJITENGA NA SUDANI YA MAPONJORO
 
Back
Top Bottom