Watalii wabeba vibegi mgongoni hawatakiwi nchin Qatar

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,837
32,773
Ebwana wanaJF mzuka!

Watalii wabebao vibeg mgongon al maaruf "Backpackers" hawatakiw nchin Qatar kwasabab wanatumia muda wao mwing kulala ufukwen tuu beach na hela zao za kudunduliza, alisema boss wa Qatar airways Akbar al Baker.
33D925EF00000578-3574237-image-m-31_1462408476889.jpg


Tunataka watu wa daraja la juu kutembelea nch yet siyo wazugaj kwani wataleta muonekano ama sura mbaya ya Qatar aliendelea kusema Akbar. Tofauti na jiran yao Dubei ambapo watalii wabeba vibeg mgongon wanakaribishwa kwa sana Qatar haipo tayar. Serekal inabid itunge sheria kal ya aina gan ya watalii kuingia Qatar Akbar alisisitiza.

'We want to attract people of a higher standard,’ said Mr Al Baker.

‘Normally the backpackers are just here to lie on the beach and spend as little as possible and give the country a bad look'

33D9247900000578-3574237-image-m-17_1462408184310.jpg


33D9247900000578-3574237-image-m-17_1462408184310.jpg

33D925E100000578-3574237-image-m-29_1462408420804.jpg

Maelf ya watalii wabeba vibeg utumbelea sana Dubei na Qatar kila mwaka hasa weng wao wanatoka Australia. Wataalam wa mambo wamehuzunishwa na haya matamsh kwa sabab inaweza ikaathir utalii nchin humo.

Hawa wa Qatari wangejua hawa wabeba vibeg wametutoa sana weng kimaisha. Waiwadharau bana!

Kiburi cha maisha na hela kibaya sana.

Chanzo: Daily mail Australia

 
Wana haki. Hiyo nchi wageni ni wengi sana kuliko wenyeji.

Inabidi waweke viwango vya juu vya kutembelea huko ili wasiende machokoraa.
 
Hiyo kauli pia nilishaisikia kwa waziri wa Mali Asili na utalii Professor Magembe pale Moshi kwenye maonyesho ya kitalii KILIFAIR!
 
Back
Top Bottom